SIMBA YAIGOMEA NAMUNGO, KAZI INAENDELEA
HomeMichezo

SIMBA YAIGOMEA NAMUNGO, KAZI INAENDELEA

 WAKATI Simba wakiendelea na kambi ya kujiandaa na msimu mpya wa 2021/22 iliyopo Karatu, Arusha, kocha mkuu wa timu hiyo, Didier Gomes, am...


 WAKATI Simba wakiendelea na kambi ya kujiandaa na msimu mpya wa 2021/22 iliyopo Karatu, Arusha, kocha mkuu wa timu hiyo, Didier Gomes, ameikataa mechi ya kirafiki dhidi ya Namungo, iliyokuwa imepangwa kuchezwa wikiendi hii.

Tangu Simba iingie katika kambi hiyo, tayari imecheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Coastal Union mchezo ambao ulimalizika kwa suluhu, pia dhidi ya Fountain Gate na Simba ilishinda bao 1-0 huku Gomes akiwa bado ana mpango wa kucheza mechi nyingine za kirafiki, lakini sio dhidi ya Namungo kama ilivyokuwa hapo awali.

Chanzo chetu cha ndani kutoka ilipo kambi ya Simba, kilieleza kuwa timu hiyo ilikuwa ina maombi ya mechi tano za kirafiki ikiwa kambini hapo.

“Tukiwa huku kambini zilikuwepo timu tano ambazo ziliomba kucheza mechi za kirafiki ambapo tayari tumecheza na Coastal Union, huku zikibakia FC Leopards ya Kenya, na Mbuni.”


Akizungumza na Championi Jumamosi, Mratibu wa Simba, Abbas Ally alisema kuwa: “Timu inaendelea vizuri na mazoezi pamoja na program za kocha ambazo hufanyika mara mbili kwa siku.

“Tulipokea maombi ya mechi za kirafiki kutoka kwenye timu tano.Mchezo wa kirafiki tuliopanga kucheza dhidi ya Namungo kwa sasa hatuna mpango wa kucheza tena bali tutaangalia maombi ya timu nyingine ambazo tutacheza nazo tukiwa huku

“Lakini pia ifahamike kwamba hatuna mpango wa kuvunja kambi kwa sasa mpaka itakapofika siku yetu ya Simba Day.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA YAIGOMEA NAMUNGO, KAZI INAENDELEA
SIMBA YAIGOMEA NAMUNGO, KAZI INAENDELEA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQkG6r9Ew7Jq338SQ_lYGCGW7S9aOSo1dIykX-MEI1FF6ole-Wmpo2epCeqIy06XB_E8n4p6C1PqEjduvsDkLG8FzEdft0UfBmFVe_WLrg1kZsMflxO-mWbgeQhfCwYOVp_pfHiWUhhDXo/w640-h360/simbasctanzania-241444589_388340316007199_8689612415350797025_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQkG6r9Ew7Jq338SQ_lYGCGW7S9aOSo1dIykX-MEI1FF6ole-Wmpo2epCeqIy06XB_E8n4p6C1PqEjduvsDkLG8FzEdft0UfBmFVe_WLrg1kZsMflxO-mWbgeQhfCwYOVp_pfHiWUhhDXo/s72-w640-c-h360/simbasctanzania-241444589_388340316007199_8689612415350797025_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/simba-yaigomea-namungo-kazi-inaendelea.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/simba-yaigomea-namungo-kazi-inaendelea.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy