Serikali Yaahidi Kulisaidia Kundi La Vijana Kuwa Katika Mazingira Bora
HomeHabari

Serikali Yaahidi Kulisaidia Kundi La Vijana Kuwa Katika Mazingira Bora

SERIKALI ya Tanzania imeahidi kulisaidia Kundi la Vijana linakuwa katika Mazingira bora na endelevu kupitia Sera ya Taifa ya Maendeleo ya...

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 14, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 14, 2024
Dkt Tulia ahitimisha mkutano wa 10 wa wabunge vijana wanachama wa umoja wa mabunge duniani


SERIKALI ya Tanzania imeahidi kulisaidia Kundi la Vijana linakuwa katika Mazingira bora na endelevu kupitia Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana inayoandaliwa kupitia Rasimu ya Sera hiyo inayoshirikisha na inayopendekezwa na vijana hao wa kada mbalimbali.

Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa idara ya Maendeleo ya Vijana Mkuu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Julius Tweneshe katika Kikao cha kujadili Rasimu ya Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana kilichofanyika Dar es Salaam kilichowakutanisha vijana wa mikoa ya Dar, Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga.

Tweneshe amesema lengo kuu la kukutana na Vijana hao ilikuwa kujadili masuala mbalimbali sambamba na taifa zima yakiwemo masuala ya Uchumi, Afya, Uwezeshwaji Kiuchumi, Ubunifu, masuala ya Diplomasia, Mazingira wezeshi katika Biashara, Kilimo, Upatikanaji wa Ajira na mengineyo.

“Kuna Kamati maalum imeundwa kwa kupitia maoni ya Vijana na baadae kupata taratibu ili kuboresha Sera kwa Vijana wa Taifa lote la Tanzania. Maoni yao watayatoa kwa njia ya kuzungumza na kuwasilisha kupitia Fomu maalum iliyoandaliwa”, amesema Tweneshe.

Kwa upande wao Vijana wameomba Rasimu hiyo kufanyiwa kazi ipasavyo kwa maoni yao mazuri kuchukuliwa ili kupata Sera bora ya Maendeleo ya Taifa kwa Vijana. “Serikali kupitia Rasimu hii inapaswa kuangalia changamoto za Vijana ili kuzitatua sambamba na kuwasaidia vijana kufika malengo yao”, amesema mmoja wa Vijana, Paul Makoye.

Naye Kijana Tatu Kassim Sultan, mwenye ulemavu wa Ngozi amependekeza kuwa Vijana wa makundi maalum wapewe kipaumbele katika masuala mbalimbali yakiwemo masuala ya Ajira ili kuondokana na vitendo vinavyoashiria unyanyapaa kwa jamii inayowazunguka.

Hii ni mara ya tatu kwa mapitio ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana yanafanywa kwa mwaka huu wa 2021 baada ya kwanza kufanyika mwaka 1996 na 2007. Kundi linahusishwa zaidi kujadili Rasimu hiyo ni Asasi za Maendeleo za Kiraia, Wawakilishi wa Vijana kutoka Makundi maalum, Wawakilishi wa Vyama vya Siasa na makundi mengine.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Serikali Yaahidi Kulisaidia Kundi La Vijana Kuwa Katika Mazingira Bora
Serikali Yaahidi Kulisaidia Kundi La Vijana Kuwa Katika Mazingira Bora
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh2SqBGyC8uJBYIAfHoFZeGQxLfnvUzVklAK1J7L1FT9XzH9Fr-EJR4OcVErrc8qm4zutFRPBxq-nHSG_91_84e2d58GnlKmfy7ouBWb3DWZYaKwD1bwIRZkHD5kd9K7ld3_f3IHXzmk8-c/s16000/11.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh2SqBGyC8uJBYIAfHoFZeGQxLfnvUzVklAK1J7L1FT9XzH9Fr-EJR4OcVErrc8qm4zutFRPBxq-nHSG_91_84e2d58GnlKmfy7ouBWb3DWZYaKwD1bwIRZkHD5kd9K7ld3_f3IHXzmk8-c/s72-c/11.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/serikali-yaahidi-kulisaidia-kundi-la.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/serikali-yaahidi-kulisaidia-kundi-la.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy