SENZO ACHIMBA MKWARA MZITO, FURAHA KURUDI YANGA
HomeMichezo

SENZO ACHIMBA MKWARA MZITO, FURAHA KURUDI YANGA

  B AADA ya kutangazwa  kuwa Ofisa Mtendaji  Mkuu wa Yanga,  Senzo Mazingiza  amechimba mkwara mzito  kuwa ni lazima kikosi  hicho kifanye...

MICHAEL SARPONG AIGOMEA YANGA
MUONEKANO WA UKURASA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JJUMATANO
HIKI HAPA KIKOSI BORA CHA MSIMU WA 2020/21

 BAADA ya kutangazwa kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Senzo Mazingiza amechimba mkwara mzito kuwa ni lazima kikosi hicho kifanye makubwa, na kukamilisha malengo ambayo wamejiwekea ikiwemo kutwaa ubingwa ulio kwa Simba.

 

Senzo alitangazwa rasmi kushika wadhifa huo ndani ya Yanga kwa lengo la kuhakikisha anakamilisha mchakato wa mabadiliko ya kiuendeshaji kama ambavyo iliazimiwa na Wanachama wa klabu hiyo katika mkutano mkuu uliofanyika Juni 27, mwaka huu.

 

Kabla ya majukumu hayo kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita tangu amejiunga na Yanga, Senzo alikuwa akihudumu kama mshauri mkuu wa mabadiliko.

 

Akizungumza na Championi Jumamosi, Senzo alisema: “Tumefanya usajili mzuri katika dirisha la usajili lililopita, lakini tumekuwa na mipango bora kuelekea msimu ujao kama uongozi kuhakikisha tunafikia malengo ambayo tumejiwekea.

 

“Kwangu nikuhakikishie kuwa nina matumaini makubwa ya kukamilisha malengo ambayo tumejiwekea na kurejesha furaha kwa Wanayanga.”



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SENZO ACHIMBA MKWARA MZITO, FURAHA KURUDI YANGA
SENZO ACHIMBA MKWARA MZITO, FURAHA KURUDI YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjxIKeUjuOP1HZYhBd0Yj9T55uy7BzlSePYJt2DuLzI8loQdkIbcHXIqgB46HFs7DBj6i-hb1jGDaP4ddfkoszym7nEKNvoVcbJHclc3rMOTfp9snyFhmoZjbHxZJc1rWcm1PsVhpk6OGWA/w640-h588/Mbata.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjxIKeUjuOP1HZYhBd0Yj9T55uy7BzlSePYJt2DuLzI8loQdkIbcHXIqgB46HFs7DBj6i-hb1jGDaP4ddfkoszym7nEKNvoVcbJHclc3rMOTfp9snyFhmoZjbHxZJc1rWcm1PsVhpk6OGWA/s72-w640-c-h588/Mbata.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/senzo-achimba-mkwara-mzito-furaha.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/senzo-achimba-mkwara-mzito-furaha.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy