SADIO MANE ATAJA MABAO ANAYOTAKA KUFUNGA
HomeMichezo

SADIO MANE ATAJA MABAO ANAYOTAKA KUFUNGA

 SADIO Mane, mshambuliaji wa Liverpool raia wa Senegal ambayo ipo ndani ya bara la Afrika amesema kuwa anataka kutupia jumla ya mabao 30 n...

HUU HAPA MUONEKANO WA UZI MPYA WA SIMBA, SABABU YA KUWA DUKANI MAPEMA KABLA YA UZINDUZI
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
SAUTI:YANGA YAIFUNIKA SIMBA ISHU YA USAJILI, YAMWAGA MKWANJA MREFU

 SADIO Mane, mshambuliaji wa Liverpool raia wa Senegal ambayo ipo ndani ya bara la Afrika amesema kuwa anataka kutupia jumla ya mabao 30 ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2021/22.

Nyota huyo ni moja ya washambuliaji makini na wenye juhudi ndani ya uwanja ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp.

Mane mwenye miaka 29 amekuwa akijitolea kwa ajili ya jamii yake nchini Senegal amesema kuwa haikuwa mpango wake kuyeyusha msimu uliopita na mabao 16 jambo ambalo limempa hasira ya kupambana.

Amejiunga na timu hiyo ya Liverpool inayoshiriki Ligi Kuu England msimu wa 2016 ametupia jumla ya mabao 98 katika michezo 48. Yupo na mshikaji wake Mohamed Salah raia wa Misri.

Mane amesema:"Nataka kuona nafunga mabao zaidi ya 30 ikiwezekana sana kwa msimu huu pia na kuwatengenezea nafasi wengine kwa ajili ya kufunga," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SADIO MANE ATAJA MABAO ANAYOTAKA KUFUNGA
SADIO MANE ATAJA MABAO ANAYOTAKA KUFUNGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi0G02JumPpZlMiGDpKOztt8DBPFVIYfidvm-dwtwDhifkLX1XbJjStXlVfIAHqUjnpcpjF34D5yXvxU_eSMDlgZKxG3JKbeNTCTXXKMQ5uwYwCIUtfVrX9cj8nDYvN2hmgWwVBa1IFgpRy/w640-h360/Mane+10.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi0G02JumPpZlMiGDpKOztt8DBPFVIYfidvm-dwtwDhifkLX1XbJjStXlVfIAHqUjnpcpjF34D5yXvxU_eSMDlgZKxG3JKbeNTCTXXKMQ5uwYwCIUtfVrX9cj8nDYvN2hmgWwVBa1IFgpRy/s72-w640-c-h360/Mane+10.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/sadio-mane-ataja-mabao-anayotaka-kufunga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/sadio-mane-ataja-mabao-anayotaka-kufunga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy