RONALDO AWATIBULIA MAMBO VILLARREAL USIKU
HomeMichezo

RONALDO AWATIBULIA MAMBO VILLARREAL USIKU

  DUNIA inamtambua mzee wa kuvunja rekodi Cristiano Ronaldo,  mshambuliaji wa Klabu ya Manchester United baada ya kufunga bao la ushindi ...

 


DUNIA inamtambua mzee wa kuvunja rekodi Cristiano Ronaldo,  mshambuliaji wa Klabu ya Manchester United baada ya kufunga bao la ushindi katika dakika za lala salama wakati Manchester United ikiitungua mabao 2-1 Villarreal katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. 


Mbele ya mashabiki 73,130 waliohudhuria Uwanja wa Old Trafford Ronaldo alivunja rekodi ya kuwa mchezaji aliyecheza mechi nyingi za Ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa amefanya hivyo mara 178 na bao lake la dakika ya 90+5 likiipa pointi United katika kundi F.


Ni Paco Alcacer alianza kufunga dakika ya 53 kwa mkwaju wa penalti ila lilisawazishwa  na Alex Telles kisha bao la ushindi likawekwa kimiani na mnyama Ronaldo ambaye aliivunja rekodi ya Iker Casillas aliyekuwa anashikilia rekodi ya kuwa nyota ambaye amecheza mechi nyingi za Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kucheza mechi 177 huku mshikaji wake Lionel Messi ambaye yupo PSG amecheza mechi 151 akiwa ni namba tatu.


Mvunja rekodi huyo ameifanya United kukusanya pointi tatu kwa mara ya kwanza ndani ya Ligi ya Mabingwa Ulaya wakiwa nafasi ya tatu huku vinara wakiwa ni Atalanta wenye pointi nne. Katika mchezo huo ni David de Gea kipa wa Manchester United aliibuka kuwa mchezaji bora wa mchezo huo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: RONALDO AWATIBULIA MAMBO VILLARREAL USIKU
RONALDO AWATIBULIA MAMBO VILLARREAL USIKU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjiXOY4SQcMLTklYJmXWLcH3-t2s81XUvyJ2pxDAQnm9wVrC7ip-15pJRhzi0svsrSPp91QKNLRWrA4wf51WJPtI2trFM8LptKTl7bxRqp-VwM_Cde1e7RoIsSPgQbBEsXiqUdv8IYxKbbb/w534-h640/IMG_20210930_053252_154.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjiXOY4SQcMLTklYJmXWLcH3-t2s81XUvyJ2pxDAQnm9wVrC7ip-15pJRhzi0svsrSPp91QKNLRWrA4wf51WJPtI2trFM8LptKTl7bxRqp-VwM_Cde1e7RoIsSPgQbBEsXiqUdv8IYxKbbb/s72-w534-c-h640/IMG_20210930_053252_154.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/ronaldo-awatibulia-mambo-villarreal.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/ronaldo-awatibulia-mambo-villarreal.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy