NABI ANATAKA MABAO MENGI MBELE YA RIVERS UNITED
HomeMichezo

NABI ANATAKA MABAO MENGI MBELE YA RIVERS UNITED

 KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amewaambia wachezaji wake kuwa anahitaji mabao mengi kesho mbele ya Rivers United ya Nigeria. Yanga...


 KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amewaambia wachezaji wake kuwa anahitaji mabao mengi kesho mbele ya Rivers United ya Nigeria.

Yanga kwa sasa ipo kwenye maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao unatarajiwa kuchezwa kesho Uwanja wa Mkapa.

Kocha huyo ameweka wazi kwamba malengo yake ni kuona kwamba anashinda mchezo huo kwa mabao mengi licha ya kutowafahamu wapinzani wake vizuri.

"Najua tunaenda kucheza mchezo mgumu na wenye ushindani mkubwa kwa sababu ya namna wapinzani wetu ambavyo wanacheza lakini kwa kiasi fulani tunashukuru tumeweza kuwajua wapinzani wetu.

"Kikubwa ni kuona kwamba tunashinda kwa mabao mengi kwa sababu hiyo itakuwa ngao yetu hata kwenye mchezo ujao wa marudiano ingawa bado hauwezi kuwa mchezo mwepesi," .

Kwenye mchezo wa kesho pia mashabiki wa Yanga watakuwa na fursa ya kuona namna Nabi atakavyoanzisha jeshi lake la kazi kwenye kusaka ushindi katika mchezo huo.

Ni Ditram Nchimbi na Heritier Makambo wanapewa nafasi ya kuongoza safu ya ushambuliaji katia mchezo huo huku Fiston Mayele yeye ishu ya vibali vya kazi ikiwa ni kikwazo kwake.

Wengine ni Shaban Djuma huyu ni beki pamoja na Khalid Aucho huyu ni kiungo nao pia wanatatizo la kutokuwa na ITC.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NABI ANATAKA MABAO MENGI MBELE YA RIVERS UNITED
NABI ANATAKA MABAO MENGI MBELE YA RIVERS UNITED
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgbsz65cUVl-wUufslrc1JpTHyuaQo-5O-gioyTStJc_K-8B3EcXw1ZaB6F8C2tKxvsT7hnrN7kPJ7oJDBJxAip9YtvDq8k3Fe0pQplZHUQT2hu_7lBoe1hgGaRt4SHHiDWkmkd75QfZ-QI/w640-h426/Nabi+Yanga.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgbsz65cUVl-wUufslrc1JpTHyuaQo-5O-gioyTStJc_K-8B3EcXw1ZaB6F8C2tKxvsT7hnrN7kPJ7oJDBJxAip9YtvDq8k3Fe0pQplZHUQT2hu_7lBoe1hgGaRt4SHHiDWkmkd75QfZ-QI/s72-w640-c-h426/Nabi+Yanga.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/nabi-anataka-mabao-mengi-mbele-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/nabi-anataka-mabao-mengi-mbele-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy