MWAKINYO ATUMA UJUMBE WA SHUKRANI
HomeMichezo

MWAKINYO ATUMA UJUMBE WA SHUKRANI

  BONDIA HASSAN Mwakinyo, ametoa shukuran kwa watu mbalimbali kwa ushirikiano ambao wamemuonesha katika maandalizi ya pambano lake na Juli...


 BONDIA HASSAN Mwakinyo, ametoa shukuran kwa watu mbalimbali kwa ushirikiano ambao wamemuonesha katika maandalizi ya pambano lake na Julius Indogo wa Namibia.

 

Mwakinyo ametoa shukurani hizo kupitia ukurasa wake wa Twitter ikiwa ni saa chache zimepita tangu, atetee ubingwa wake wa Afrika (ABU) Super Welterweight baada ya kumpiga Julius Indogo, raia wa Namibia raundi ya 4 kwa ‘TKO.’

 

Pambano hilo limefanyika usiku wa kuamkia Jumamosi tarehe 4 Septemba 2021, katika pambano lililofanyika ukumbi wa Ubungo Plaza, Dar es Salaam.

 

Mwakinyo ni bondia namba namba 1 Afrika na namba 37 duniani kati ya mabondia 2,050 wa uzani wa super welter.


Katika salamu zake, Mwakinyo amesema hivi;

Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu mana bila yeye hakuna mimi, yeyee ndo mpangaji wa nani ashinde hakika alinichagua mimi kuwa mshindi, pili nishukuru familia yangu mama yangu bi Fatma Hassan na wengine wote kwa ujumla ambao wamesimama na Mimi na kunitia nguvu pale kwenye ugumu,


"Nishukuru management yangu kwa kazi kubwa walionayo juu yangu,mkuu wangu wa mkoa,Serikali kuu, na wizara ya michezo kwa ujumla kwa hakika najivunia,lakini pia sponsors, (wadhamini) wote kama Azam na wengine wa pambano zima toka mwanzo hadi mwisho lakini shukurani ya kipee ni kwako shabiki wangu ambae ndani yako kuna mimi.

 

"Hakika ninyi mumenipa hadhi na heshima kubwa mimi sio mshindi na nisingefika hapa bila ninyi, lakini kwa ambae pia sio shabiki yangu nakushukuru sana bila kuwepo ninyi msiokuwa mashabiki wangu nisingepata wa kunikosoa pale ninapokosea.

Nawashukuru sana. Ushindi huu ni wa Taifa zima…nitaendelea kusimama kwa ajili ya nchi yangu…nawapenda sana…




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MWAKINYO ATUMA UJUMBE WA SHUKRANI
MWAKINYO ATUMA UJUMBE WA SHUKRANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjctYj9VWhfZH63FlsjhG6RliRK0pQuH28fN6vAkLJWDioh4J8pSFjir3I1m8w4mszlQy29extx36QzCigESxzat4J75sfl71tTJfzf-XcQoaB8-oEdnh3aT0wULrWj9KcetkSJeCAJSrgj/w640-h428/Mwakinyo+tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjctYj9VWhfZH63FlsjhG6RliRK0pQuH28fN6vAkLJWDioh4J8pSFjir3I1m8w4mszlQy29extx36QzCigESxzat4J75sfl71tTJfzf-XcQoaB8-oEdnh3aT0wULrWj9KcetkSJeCAJSrgj/s72-w640-c-h428/Mwakinyo+tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/mwakinyo-atuma-ujumbe-wa-shukrani.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/mwakinyo-atuma-ujumbe-wa-shukrani.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy