MTUNISIA MWINGINE ASHUSHWA YANGA KUMWAGA WINO
HomeMichezo

MTUNISIA MWINGINE ASHUSHWA YANGA KUMWAGA WINO

 KOCHA Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi,  ametoa mapendekezo kwa viongozi juu ya  kuletwa kwa Kocha Msaidizi wa timu hiyo  ambaye ni raia wa...


 KOCHA Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi, 
ametoa mapendekezo kwa viongozi juu ya kuletwa kwa Kocha Msaidizi wa timu hiyo ambaye ni raia wa Tunisia ambaye tayari wameshamalizana kila kitu na anatarajiwa kutua nchini wiki ijayo.

Yanga iliachana na baadhi ya viongozi wa benchi la ufundi ambao ni Kocha Msaidizi, Sghir Hammad mwenye uraia wa Tunisia, Kocha wa viungo Mmorocco, Jawab Sabri na Mchua misuli raia wa Afrika Kusini, Fareed Cassiem baada ya mikataba yao kumalizika.

Viongozi hao mara baada ya msimu uliopita kumalizika walienda mapumziko na baada ya hapo hawakujiunga na timu wakati ilipoenda nchini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya michuano mbalimbali kwa msimu ujao.

Kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi Yanga walitambulisha wachezaji na benchi zima la Ufundi likiongozwa na Kocha Nabi huku mbadala wa Kocha wa viungo na mchua misuli wakionekana lakini kocha msaidizi akiwa bado hajapatikana.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela alisema kuwa tayari kocha msaidizi ameshapatikana na atafika nchini hivi karibuni.

"Ni kweli kwa sasa timu haina kocha msaidizi lakini tumeshafanya mchakato na ameshapatikana, tunatarajia atakuja nchini kuanzia wiki ijayo kwa ajili ya kujiunga na timu.

"Ni raia wa Tunisia, tulimpata kutokana na mapendekezo ya kocha wetu mkuu, Nassredine Nabi na wanafahamiana vizuri hivyo tunatarajia mambo mazuri kutoka kwao," alisema Mwakalebela.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MTUNISIA MWINGINE ASHUSHWA YANGA KUMWAGA WINO
MTUNISIA MWINGINE ASHUSHWA YANGA KUMWAGA WINO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiQfVk8iyfLPs4ckd9bBylVKg-91oECiFuK5xJH_yGWYCNE10yRcugtu15S9N6tB49q6lyf5erIcpTHn58TAfULRBehCNFaRrnlCbt6XYlnLCKv6AycaD8pEbvaA2I24gO9qvxHjTVbvq5h/w640-h360/Nabi+saini.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiQfVk8iyfLPs4ckd9bBylVKg-91oECiFuK5xJH_yGWYCNE10yRcugtu15S9N6tB49q6lyf5erIcpTHn58TAfULRBehCNFaRrnlCbt6XYlnLCKv6AycaD8pEbvaA2I24gO9qvxHjTVbvq5h/s72-w640-c-h360/Nabi+saini.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/mtunisia-mwingine-ashushwa-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/mtunisia-mwingine-ashushwa-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy