LEO Jumapili kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasredine Nabi kinatarajiwa kuwa na mchezo wa kimataifa dhidi ya Rivers Unit...
LEO Jumapili kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasredine Nabi kinatarajiwa kuwa na mchezo wa kimataifa dhidi ya Rivers United, Uwanja wa Mkapa ambao ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali.
Nabi ameweka wazi kuwa anahitaji ushindi kutokana na maandalizi ambayo ameyafanya lica ya mchezo kuamini kwamba utakuwa mgumu.
Baada ya mchezo wa leo Yanga inatarajiwa kumenyana tena na Rivers United Septemba 19 nchini Nigeria, hapa ni kikosi ambacho kinapewa nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza leo kipo namna hii:-
Diarra Djigui huyu anapewa nafasi ya kukaa kwenye milingoti mitatu leo kwa Mkapa.
Kibwana Shomari huyu atabeba mikoba ya Djuma Shaban.
Bakari Mwamnyeto huyu ni nahodha wa Yanga.
Dickson Job
Adeyum Saleh
Yanick Bangala
Tonombe Mukoko
Jeus Moloko
Fei Toto
Heritier Makambo
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS