IMEELEZWA kuwa Shirikisho la Soka Afrika limetoa orodha ya makocha ambao hawajakidhi vigezo vya kukaa kwenye benchi la ufundi katika mech...
IMEELEZWA kuwa Shirikisho la Soka Afrika limetoa orodha ya makocha ambao hawajakidhi vigezo vya kukaa kwenye benchi la ufundi katika mechi za kimataifa.
Sababu inayotajwa ni kukosa vigezo vya Caf au UEFA Pro Licence.
Orodha hiyo imewataja Dideir Gomes, Kocha Mkuu wa Simba ambayo kwa sasa ipo Arusha.
Erradi Mohamed Adil wa APR.
Bosa Wasswa wa Express FC.
Diego Garzitto wa El Merreikh.
Comlan Mathias wa ESAEL FC.
Pascal Lafleurial wa DFCB.
Roque Sapir wa SD Sagrada Experanca.
Ame Khamis wa KMKM.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS