EPL, BUNDESLIGA NA LIGUE 1 KUENDELEA WIKENDI HII
HomeMichezo

EPL, BUNDESLIGA NA LIGUE 1 KUENDELEA WIKENDI HII

Baada ya mapumziko ya siku 10 na kupisha michezo ya Kimataifa, sasa soka linarejea tena kwenye ngazi ya vilabu wikiendi hii. Ni wiki ya 4 ...


Baada ya mapumziko ya siku 10 na kupisha michezo ya Kimataifa, sasa soka linarejea tena kwenye ngazi ya vilabu wikiendi hii. Ni wiki ya 4 kwenye ligi nyingi Barani Ulaya, mambo yapo hivi;

 

Lorient kupambana na Lille katika muendelezo wa Ligue 1 Ijumaa hii. Licha ya kubeba ubingwa msimu uliopita, Lille hawajaonesha makali yao waliyomaliza nayo msimu. Usiwachukulie poa, Odds ya 2.15 ipo kwa Lille kupitia Meridianbet.


Julian Niglesmann kuingoza Bayern Munich itakapowafata RB Leipzigjumamosi hii. Naam! Kocha huyu atakua anarejea nyumbani kwa mara ya kwanza baada ya kuondoka klabuni hapo. Sambamba na Julian, beki kisiki – Dayot Upamecano pamoja na Marcel Sabitzerwatarejea kuchuana na klabu yao ya zamani (Leipzig). Kupitia Meridianbet, ifuate Odds ya 2.30 kwa Bayern Munich.

 

Dunia nzima itakua pale Old Trafford wakati ambapo, Cristiano Ronaldo atatambulishwa rasmi kurejea Manchester United baada ya miaka 12. United watakua uwanjani kuwaalika Newcastle United, huu ni mchezo ambao ni miongoni mwa michezo mikubwa kwenye historia ya soka la Uingereza. Ni Ole Gunnar Solskjaer au Steve Bruce atakayeondoka na alama 3 muhimu? Odds ya 1.19 ipo kwa Man United ndani ya Meridianbet.

 

Fumba na kufumbua, jumapili hii hapa – ni Leeds United vs Liverpool. Majogoo wa Uingereza wataingia uwanjani bila kipa wao namba 1 – Alisson Becker wala mshambuliaji wao Roberto Firmino. Upande wa pili, Leeds itamkosa Rafinha lakini itamkaribisha Dan James aliyesajiliwa kutoka Man United. Hapatoshi!!! Tengeneza faida kwa kuifuata Odds ya 1.82 kwa Liverpool.

 

Jumatatu itahitimishwa kwa mtanange wa Everton vs Burnley, hakuna mechi ndogo ndani ya EPL. Vilevile kwenye dau lako, kila dau unaloliweka, linaweza kukupatia faida maradufu! Ifuate Odds ya 1.80 kwa Everton ukiwa ndani ya Meridianbet.

 

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: EPL, BUNDESLIGA NA LIGUE 1 KUENDELEA WIKENDI HII
EPL, BUNDESLIGA NA LIGUE 1 KUENDELEA WIKENDI HII
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjXFgok8LqJQhxcRHiMOEEq4pZy-zFmIlbWlQ-AC4Hf-hUFobjIy-6DsNAE8J0ueNmRcW_TazBgO3uqTycg122ovX8TuyoHF6njvvlMzYl6ygkNhkE_ggqndDz9NiLZMg5Paaj03QndiczH/w512-h640/manchesterunited_241499291_897151771198882_5550801381783279769_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjXFgok8LqJQhxcRHiMOEEq4pZy-zFmIlbWlQ-AC4Hf-hUFobjIy-6DsNAE8J0ueNmRcW_TazBgO3uqTycg122ovX8TuyoHF6njvvlMzYl6ygkNhkE_ggqndDz9NiLZMg5Paaj03QndiczH/s72-w512-c-h640/manchesterunited_241499291_897151771198882_5550801381783279769_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/epl-bundesliga-na-ligue-1-kuendelea.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/epl-bundesliga-na-ligue-1-kuendelea.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy