DEMBELE KUPEWA DILI JIPYA BARCELONA
HomeMichezo

DEMBELE KUPEWA DILI JIPYA BARCELONA

 UONGOZI wa Klabu ya Barcelona umeweka wazi kuwa upo kwenye mpango wa kujiandaa kukutana na mwakilishi wa nyota wao Ousmane Dembele. Kwa ...


 UONGOZI wa Klabu ya Barcelona umeweka wazi kuwa upo kwenye mpango wa kujiandaa kukutana na mwakilishi wa nyota wao Ousmane Dembele.

Kwa mujibu wa Rais wa Klabu ya Barcelona inayoshiriki La Liga, Joan Laporta amesema kuwa wapo kwenye hesabu za kufanya mazungumzo na mwakilishi wa staa huyo ili waweze kukamilisha ishu ya kuongeza mkataba mpya.

Hivi karibuni ilielezwa kuwa Barcelona wanataka kukutana na mwakilishi wa Dembele ili aweze kusaini dili jipya kwa kuwa kandarasi yake kwa sasa imebakiza miezi 12 pekee.

Ni jezi namba 7 ambayo amepewa staa huyo ambayo awali ilikuwa ikitumiwa na Antoine Griezmann ambaye kwa sasa amejiunga na Klabu ya Atletico Madrid lakini bado Dembele kwa sasa hajaanza kukipiga kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya goti.

"Naamini kuwa tutamaliza kila kitu hivi karibuni atakubali kusaini mkataba mpya wa kuitumikia timu yetu," amesema rais huyo. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: DEMBELE KUPEWA DILI JIPYA BARCELONA
DEMBELE KUPEWA DILI JIPYA BARCELONA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEioPX7RntSck8fObxLBSQB6S1k1Pxu2omJ4bIZzCAEnwmNOplkCckHfaWvVxV_tCr0-meQs_xlt1sSnRolkYFBRmprwCUp6FrAsJP54XVIw9_TDRirvMw5RVbMYrIGkxX_O4uGrMj2ZWs7C/w640-h426/Dembele.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEioPX7RntSck8fObxLBSQB6S1k1Pxu2omJ4bIZzCAEnwmNOplkCckHfaWvVxV_tCr0-meQs_xlt1sSnRolkYFBRmprwCUp6FrAsJP54XVIw9_TDRirvMw5RVbMYrIGkxX_O4uGrMj2ZWs7C/s72-w640-c-h426/Dembele.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/dembele-kupewa-dili-jipya-barcelona.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/dembele-kupewa-dili-jipya-barcelona.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy