AZAM FC wazee wa kimyakimya kwa msimu wa 2021/22 sio wanyonge kwenye upande wa uzi mpya nao wanatamba kwa uzi wao ambao kwa sasa upo madu...
AZAM FC wazee wa kimyakimya kwa msimu wa 2021/22 sio wanyonge kwenye upande wa uzi mpya nao wanatamba kwa uzi wao ambao kwa sasa upo madukani ukipatikana kwa mashabiki wanaohitaji uzi matata.
Tayari kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina kimerejea Bongo kwa ajili ya maandalizi ya mechi zao zijazo.
Huu hapa muonekano wa uzi wao mpya msimu wa 2021/22
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS