KIKOSI cha Simba jana kilikwea pipa kuelekea Morocco kwa ajili ya kambi ya maandalizi ya msimu wa 2021/22. Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes ...
KIKOSI cha Simba jana kilikwea pipa kuelekea Morocco kwa ajili ya kambi ya maandalizi ya msimu wa 2021/22. Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes amesema kuwa ni jambo la msingi kwao kupata muda wa maandalizi.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Kuhusu nyota wapya ambao wamesajiliwa watapata muda wa maandalizi pamoja na kuwa sawa kwa ajili ya kuipambania timu hiyo.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS