RUVU SHOOTING YAINGIA SOKONI KUSAKA MAJEMBE YA KAZI
HomeMichezo

RUVU SHOOTING YAINGIA SOKONI KUSAKA MAJEMBE YA KAZI

 WAKATI huu wa dirisha la usajili likiwa limefunguliwa, benchi la ufundi la Ruvu Shooting lipo sokoni kusaka majembe saba  ya kazi kwa aji...


 WAKATI huu wa dirisha la usajili likiwa limefunguliwa, benchi la ufundi la Ruvu Shooting lipo sokoni kusaka majembe saba  ya kazi kwa ajili ya msimu ujao wa 2020/21.

Kwenye upande wa ulinzi, Ruvu Shooting ambayo ilimaliza msimu wa 2020/21 ikiwa nafasi ya 11 na iliokota jumla ya mabao 38 itakosa huduma ya beki wao Edward Manyama ambaye kwa sasa ni mali ya Azam FC.

Kwa mujibu wa ripoti ya Kocha Mkuu wa Ruvu Shooting, Boniface Mkwasa ambayo tayari mabosi wamekabidhiwa inaeleza kuwa inahitaji nyota saba ikiwa ni pamoja na eneo la beki wa kushoto alipokuwa Manyama pamoja na eneo la kipa.

Mkwasa amesema:"Tunahitaji kuboresha kikosi kwa ajili ya msimu ujao kwa kuhitaji wachezaji bora na mahitaji mengi katika kikosi chetu ukiangalia msimu uliomalizika tulishindwa kufikia malengo ya kumaliza nafasi nne za juu.

"Sababu kubwa ni kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya wachezaji wangu hivyo hatutaki kuona inatokea msimu ujao," amesema. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: RUVU SHOOTING YAINGIA SOKONI KUSAKA MAJEMBE YA KAZI
RUVU SHOOTING YAINGIA SOKONI KUSAKA MAJEMBE YA KAZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjjXpk27FhfST4uQV2DaB35xFTKko7rOCpuQrYCJEQpIY7O-PUdXGepAkDxgwW-P_E-sdkXY01JGT12ynFalkkIzgoRfo3zekGfRJZaOitgVT_n1h0hVhP7X_BBMoXdzPEVioEk8Ae4XFMm/w520-h640/27_edo_manyama-143593950_750443022516618_1365436526688173589_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjjXpk27FhfST4uQV2DaB35xFTKko7rOCpuQrYCJEQpIY7O-PUdXGepAkDxgwW-P_E-sdkXY01JGT12ynFalkkIzgoRfo3zekGfRJZaOitgVT_n1h0hVhP7X_BBMoXdzPEVioEk8Ae4XFMm/s72-w520-c-h640/27_edo_manyama-143593950_750443022516618_1365436526688173589_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/ruvu-shooting-yaingia-sokoni-kusaka.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/ruvu-shooting-yaingia-sokoni-kusaka.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy