Wakati mashindano ya Tokyo Olimpiki 2020 yakielekea ukingoni, baadhi ya Ligi Soka barani Ulaya kuanza kutimua vumbi wikiendi hii na zingi...
Wakati mashindano ya Tokyo Olimpiki 2020yakielekea ukingoni, baadhi ya Ligi Soka barani Ulaya kuanza kutimua vumbi wikiendi hii na zingine kuanza wiki ijayo. Meridianbet, hatukuachi nyuma – zifaute Odds bora za wikiendi hii kama zilivyo;
Ijumaa hii, vijana wa Mexico watachuana na Japankatika mchezo wa kuwania medali ya shaba kunako mashindano ya Olimpiki.
Timu hizi zilikua kwenye Kundi A zikimaliza hatua ya makundi katika nafasi ya 1 na 2. Kupoteza michezo ya nusu fainali dhidi ya Brazili na Uhispania, kunazifanya timu hizi kukutana kwenye kuwania mshindi wa tatu. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.50 kwa Mexico.
Jumamosi itakua ni wikiendi ya kibabe! Fainali mbili kuchezwa ndani ya siku moja, unapiga pesa mchana na usiku. Hii ndio Meridiabet!
Brazili uso kwa uso na Uhispaniakatika mchezo wa Fainali ya mashindano ya Olimpiki, bingwa wa mchezo huu ataondoka na medali ya dhahabu huku aliyefungwa akiondoka na medali ya fedha. Huku kuna mkongwe Dani Alves na Richarlson, kule kuna Marcos Asensio na Pedri, hapatoshi!! Odds ya 2.50 inakusubiri kwa Brazili.
Nchini Uingereza kutachezwa mchezo wa ufunguzi wa msimu mpya wa EPL. Kihistoria, mchezo wa Ngao ya Hisanindio ishara ya kuanza kwa msimu mpya nchini Uingereza. Jumamosi hii, Leicester City atachuana na Manchester Citybaada ya kutwaa ubingwa wa FA na EPL msimu uliopita. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.96 kwa Man City.
Jumapili tutatupia jicho kwenye wiki ya kwanza ya Ligue 1 kule nchini Ufaransa. Mabingwa watetezi – Lille watawafuata Metzkatika mchezo wa kwanza wa kutetea ubingwa wao walioupata msimu uliopita. Lille wataweza kutetea ubingwa msimu huu? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.79 kwa Lille.
Unapokuwa na Meridianbet, huna sababu ya kufikiria ushindi. Ndani ya Nyumba ya Ushindi, dau lako ni ushundi wako!
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS