MESSI AMWAGA MACHOZI AKIWAAGA MASHABIKI BARCELONA
HomeMichezo

MESSI AMWAGA MACHOZI AKIWAAGA MASHABIKI BARCELONA

  WIMBO wa mkongwe wa muziki wa Country, Don Williams wa Fare Well Jamaica ndiyo uliomkaa mshambuliaji wa Dunia, Lionel Messi ambaye ameji...


 WIMBO wa mkongwe wa muziki wa Country, Don Williams wa Fare Well Jamaica ndiyo uliomkaa mshambuliaji wa Dunia, Lionel Messi ambaye amejikuta akiangua kilio mbele ya vyombo vya habari wakati akiwaaga mashabiki na viongozi wa Barcelona.

Leo mchana, Messi aliandaliwa mkutano kwenye viunga vya Camp Nou kwenye maskani ya timu hiyo ambapo ameshindwa kabisa kuzuia hisia zake na kujikuta anashindwa aseme maneno gani ya kwaheri Kwa Wana-Barcelona na badala yake akajikuta akiangua kilio kama mtoto mdogo.

 

Ni ngumu kuamini ila ndiyo hivyo, Barcelona na Messi ambaye ameitumikia klabu hiyo tangu utotoni hadi amekuwa mbaba, wanaachana katika nyakati ngumu sana.


Nyota huyo ambaye amecheza ndani ya Barcelona kwa zaidi ya miaka 20 alikuwa tayari kuongeza dili jipya la miaka mitano lakini kutokana na kuyumba kwa uchumi wa Barcelona uliosababishwa na janga la Corona ulifanya shughuli iwe nzito.


La Liga walipoutazama mkataba mpya wa Messi waliugomea kwa kuwa ulikuwa na matumizi makubwa ya fedha hasa kwa upande wa mshahara licha ya Messi kukubali kupunguziwa asilimia 50.


Wakati akiwaaga amesema:"Nilitamani kubaki na nilikuwa ninapenda kubaki kwa kuwa kwa muda mrefu tumekuwa familia ila sina chaguo, zaidi ya kusema byebye," . 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MESSI AMWAGA MACHOZI AKIWAAGA MASHABIKI BARCELONA
MESSI AMWAGA MACHOZI AKIWAAGA MASHABIKI BARCELONA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiwxeTEfy2yDDZJhyphenhyphenT-svT9PqzZZjYhmjnG01xZrzcjIUOxBjVerdWWSOWQbNE3GnsQypzcKOB0q2EuW78-lc6qA-jPMpzHIPxFZcPj-rtUEXOwdpHHG6IXIHEsTthFe1UQqproDK_HkpDP/w640-h360/Mesi+machozi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiwxeTEfy2yDDZJhyphenhyphenT-svT9PqzZZjYhmjnG01xZrzcjIUOxBjVerdWWSOWQbNE3GnsQypzcKOB0q2EuW78-lc6qA-jPMpzHIPxFZcPj-rtUEXOwdpHHG6IXIHEsTthFe1UQqproDK_HkpDP/s72-w640-c-h360/Mesi+machozi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/messi-amwaga-machozi-akiwaaga-mashabiki.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/messi-amwaga-machozi-akiwaaga-mashabiki.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy