Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesitisha upandaji wa bei za gesi za kupikia zilizopanda maradufu katika baad...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesitisha upandaji wa bei za gesi za kupikia zilizopanda maradufu katika baadhi ya maeneo nchini hadi hapo itakapotangazwa tena kutokana na upandaji wa bei hizo kutofuata taratibu.
Credit: MPEKUZI
Thanks for your time please share with your friends
COMMENTS