UONGOZI wa Simba umetoa taarifa rasmi leo Agosti 16 kuhusu wachezaji wake wawili ambao ni Luis Miquissone na Clatous Chama kupewa ofa k...
UONGOZI wa Simba umetoa taarifa rasmi leo Agosti 16 kuhusu wachezaji wake wawili ambao ni Luis Miquissone na Clatous Chama kupewa ofa kutoka timu za nje ya nchi.
Kwa taarifa hiyo inakuwa ni rasmi kwamba nyota hao wawili ambao walikuwa na uwezo mkubwa ndani ya uwanja hawatakuwa kwenye ardhi ya Tanzania.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS