AZAM FC KUENDELEA PALE WALIPOISHIA
HomeMichezo

AZAM FC KUENDELEA PALE WALIPOISHIA

 IDD Kipagwile na Paul Peter nyota wa Azam FC wana kazi ya kuendelea pale walipoishia kwa kutimiza majukumu yao watakapokuwa na kibarua cha ...

 IDD Kipagwile na Paul Peter nyota wa Azam FC wana kazi ya kuendelea pale walipoishia kwa kutimiza majukumu yao watakapokuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya KMKM.



Vijana hao waliweza kutupia kwenye mechi za awali ambapo ile ya kwanza katika Kombe la Kagame dhidi ya mabingwa watetezi KCCA ya Uganda ni Peter alitupia mabao mawili yote.


Katika mchezo wa kwanza ubao wa Azam Complex ulisoma Azam FC 2-0 KCCA na ule wa pili ubao huo ulisoma Azam FC 1-0 Messager Ngozi FC bao lilipachikwa na Kipagwile.


Azam FC imekuwa ni timu ya kwanza kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Kagame hivyo ikipoteza leo  ama kupata sare hakuna kitakachoharibika kwao.


Vivier Bahati, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa vijana wana kazi ya kuendelea pale ambapo waliishia.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC KUENDELEA PALE WALIPOISHIA
AZAM FC KUENDELEA PALE WALIPOISHIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgng5TOyqXLD26JOOxkeFnFVbjtIRPx3-3gtlUuuI08bXrdfBRmG_yrmYZTb0PYoApVf5DfNFZnGvEZbfncSeKu6G9TEAtyi8J_PW54GEHzziUgwYjHwL1VufsKYDSm5ZEP__i3q819gxeJ/w636-h640/Screenshot_20210807-054908_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgng5TOyqXLD26JOOxkeFnFVbjtIRPx3-3gtlUuuI08bXrdfBRmG_yrmYZTb0PYoApVf5DfNFZnGvEZbfncSeKu6G9TEAtyi8J_PW54GEHzziUgwYjHwL1VufsKYDSm5ZEP__i3q819gxeJ/s72-w636-c-h640/Screenshot_20210807-054908_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/azam-fc-kuendelea-pale-walipoishia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/azam-fc-kuendelea-pale-walipoishia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy