YANGA: TUTAWAFUNGA TENA SIMBA KIGOMA
HomeMichezo

YANGA: TUTAWAFUNGA TENA SIMBA KIGOMA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba kuelekea kwenye mchezo wao ujao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba watawafunga bila kuwaogopa na k...

PSG NYUMBANI KUWAVAA CITY LEO
VIDEO: YANGA WALIKATIA TAMAA KOMBE LA LIGI KUU BARA, KILIO CHAO KWA VIONGOZI
VIDEO: KIPA WA DODOMA JIJI AKUBALI UWEZO WA SIMBA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba kuelekea kwenye mchezo wao ujao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba watawafunga bila kuwaogopa na kutwaa taji la pili miguuni mwao.

Julai 3 kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi, ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 0-1 Yanga. Ilikuwa ni zawadi ya mashabiki wa Yanga kutoka mguu wa Zawadi Mauya aliyefunga bao la mapema dk 12.

Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela ameweka wazi kwamba hawana mashaka na watani zao wa jadi wakikutana tena wanawafunga.
 
"Hatuna mashaka nao tukikutana nao Julai 25, tunawafunga tena, uzuri ni kwamba tuna timu imara na kila mmoja analitambua hilo.

"Mbinu za mwalimu wetu zinaonekana na kila mtu anakubali hivyo wakati ujao imani yangu ni kuona kwamba tunaongeza kasi zaidi na kuendelea kujiamini, mashabiki waendelee kutupa sapoti" amesema.

Mchezo huo ni wa fainali ya Kombe la Shirikisho unatarajiwa kuchezwa Julai 25, Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.

Tayari Yanga ilitwaa taji moja mguuni mwa Simba lilikuwa ni lile la Mapinduzi ambalo lilifanyika huko Zanzibar.


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA: TUTAWAFUNGA TENA SIMBA KIGOMA
YANGA: TUTAWAFUNGA TENA SIMBA KIGOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiWmq3BNGcit2M0zdsE_XnRJ94wIGYuAoQZdqIf2Mrs57DTHSbnlHnjyiMxb7XszhgqLQiLqJkzMF3tULpMYVxoTVcynzXzHI4BPpbfgoaRdEWe4C_JpZkSO7ArvsfrP3_Avsy_FTH7SIKf/w636-h640/Screenshot_20210705-075141_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiWmq3BNGcit2M0zdsE_XnRJ94wIGYuAoQZdqIf2Mrs57DTHSbnlHnjyiMxb7XszhgqLQiLqJkzMF3tULpMYVxoTVcynzXzHI4BPpbfgoaRdEWe4C_JpZkSO7ArvsfrP3_Avsy_FTH7SIKf/s72-w636-c-h640/Screenshot_20210705-075141_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/yanga-tutawafunga-tena-simba-kigoma.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/yanga-tutawafunga-tena-simba-kigoma.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy