VICTORIA nyota wa Simba Queens amesema kuwa ni furaha kwake kucheza ndani ya timu hiyo huku akiweka wazi kwamba suala lake la kucheza hapo t...
VICTORIA nyota wa Simba Queens amesema kuwa ni furaha kwake kucheza ndani ya timu hiyo huku akiweka wazi kwamba suala lake la kucheza hapo taarifa zitatolewa.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Mchezaji huyo pia amewaomba mashabiki wazidi kutoa sapoti kwa timu hiyo ambayo jana Julai 13 ilikabidhiwa taji la ubingwa wa Ligi ya Wanawake.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS