Taarifa Kwa Umma Kuhusu Mkutano Wa Kamati Ya Mawaziri Wa Fedha Na Uwekezaji Wa SADC Na Jopo La Mapitio Ya Uchumi Mpana La SADC
HomeHabari

Taarifa Kwa Umma Kuhusu Mkutano Wa Kamati Ya Mawaziri Wa Fedha Na Uwekezaji Wa SADC Na Jopo La Mapitio Ya Uchumi Mpana La SADC

 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Mawaziri ...


 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Mawaziri wanaohusika na masuala ya Fedha na Uwekezaji wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jopo la Mapitio ya Uchumi Mpana (Peer Review Panel).

Mkutano huo utafanyika chini ya Mwenyekiti Waziri wa Uchumi na Fedha wa Msumbiji Mhe. Adriano Afonso Maleiane, tarehe 15 Julai, 2021 kwa njia ya mtandao kutokea katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Dar es salaam, ambapo utatanguliwa na kikao cha Makatibu Wakuu wa Wizara ya Fedha, Uwekezaji na Maafisa Waandamizi wa Benki Kuu za SADC, utakaofanyika kwa siku mbili kuanzia tarehe 12-13 Julai, 2020.

Mkutano huo utawakutanisha Mawaziri wenye dhamana na masuala ya Fedha na Uwekezaji na Magavana wa Benki Kuu kutoka nchi 16 wanachama wa SADC na utajadili masuala ya Fedha na Uwekezaji pamoja na kupokea taarifa ya utekelezaji wa maamuzi yaliyotolewa na Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji katika mkutano uliofanyika mwezi Julai 2020, Dar es Salaam, Tanzania.

Vilevile mkutano huo utajadili kwa kina na kutoa maamuzi ya kisera kuhusu athari za Kiuchumi na Kijamii za COVID-19 pamoja na mambo mengine kadhaa.

Imetolewa na
Benny Mwaipaja
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO


 



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Taarifa Kwa Umma Kuhusu Mkutano Wa Kamati Ya Mawaziri Wa Fedha Na Uwekezaji Wa SADC Na Jopo La Mapitio Ya Uchumi Mpana La SADC
Taarifa Kwa Umma Kuhusu Mkutano Wa Kamati Ya Mawaziri Wa Fedha Na Uwekezaji Wa SADC Na Jopo La Mapitio Ya Uchumi Mpana La SADC
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgfbxNxZoGi0Pp5nNchG9U7RtsvUdyRy4JKVHQiml5Hw63rAmpuqYIa57cuBvmRPjvwpuTHtdBkm8ae_P5zth4zybSaTf6RML_fVfbecWZpvL9CQyu1va7qpJLCkfKZhTsqge6RQV5Ym17d/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgfbxNxZoGi0Pp5nNchG9U7RtsvUdyRy4JKVHQiml5Hw63rAmpuqYIa57cuBvmRPjvwpuTHtdBkm8ae_P5zth4zybSaTf6RML_fVfbecWZpvL9CQyu1va7qpJLCkfKZhTsqge6RQV5Ym17d/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/taarifa-kwa-umma-kuhusu-mkutano-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/taarifa-kwa-umma-kuhusu-mkutano-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy