MSUVA:ILIKUWA NI MALENGO YANGU KUTWAA UBINGWA
HomeMichezo

MSUVA:ILIKUWA NI MALENGO YANGU KUTWAA UBINGWA

 KIUNGO mshambuliaji wa Wydad Casablanca ya  nchini Morocco, Simon Msuva, ameweka rekodi  ya kuwa Mtanzania wa kwanza kubeba ubingwa  wa l...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
SIMULIZI YA JAMAA ALIYEISAHAU FAMILIA YAKE
VIDEO: EXCLUSIVE: AZAM FC YAGOMEA KUFIKIRIA MATAJI, YATAJA KINACHOAMUA MECHI ZA SIMBA,YANGA

 KIUNGO mshambuliaji wa Wydad Casablanca ya 
nchini Morocco, Simon Msuva, ameweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kubeba ubingwa wa ligi nchini humo, maarufu kwa jina la Botola Pro.


Nyota huyo amesema kuwa ilikuwa ni malengo yake kuona kwamba anaweza kutwaa ubingwa na timu hiyo.

Casablanca ilitangaza ubingwa huo baada ya kufanikiwa kuwafunga wapinzani wao Mouloudia Oujda mabao 2-0.


Msuva anaipa ubingwa huo Casablanca ukiwa ni msimu wake wa kwanza tangu ajiunge nao akitokea Difaa El Jadida ya nchini humo.


Ubingwa huo ni wa 21 ambao wameuchukua timu hiyo ambayo ilishiriki Ligi ya Mabingwa Afrika pia msimu huu.


Kiungo huyo ameweka rekodi kubwa ambayo

baadhi ya wachezaji waliowahi kucheza na

 wanaocheza akiwemo Nickson Kibabage

anayeichezea Club Athletic Youssoufia

Berrechid ya nchini humo, wamempongeza.


Akizungumzia ubingwa huo, Msuva alisema: “Ni

furaha kwangu kuweka historia yangu katika

maisha ya soka kuchukua ubingwa hapa

Morocco.


“Tangu najiunga na Casablanca haya yalikuwa

malengo yangu ya kwanza kubeba ubingwa wa

ligi kuu, licha ya kutamani zaidi kutwaa ubingwa

wa Ligi ya Mabingwa Afrika.”



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MSUVA:ILIKUWA NI MALENGO YANGU KUTWAA UBINGWA
MSUVA:ILIKUWA NI MALENGO YANGU KUTWAA UBINGWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjxNZBCFxnvjTMakpdKZUgKrkWxAn19I2btkqp6HT4q6RdHrEtQrB3CeEdESWj8EQrtRH_fmW_QtuQWQ7y68wbXdOiZ9uGpkPMK_g4otB9mdBtIQzAWv8tFhQogb0spOstKLsfVfyzBZfeN/w640-h428/smsuva27-210824944_2935686116711539_4136480214646476387_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjxNZBCFxnvjTMakpdKZUgKrkWxAn19I2btkqp6HT4q6RdHrEtQrB3CeEdESWj8EQrtRH_fmW_QtuQWQ7y68wbXdOiZ9uGpkPMK_g4otB9mdBtIQzAWv8tFhQogb0spOstKLsfVfyzBZfeN/s72-w640-c-h428/smsuva27-210824944_2935686116711539_4136480214646476387_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/msuvailikuwa-ni-malengo-yangu-kutwaa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/msuvailikuwa-ni-malengo-yangu-kutwaa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy