MABOSI YANGA WAMJADILI METACHA MNATA
HomeMichezo

MABOSI YANGA WAMJADILI METACHA MNATA

  H ATMA  ya kipa  wa Yanga, Metacha  Mnata, inatarajiwa  kujulikana leo mara  baada ya Kamati ya Nidhamu  ya timu hiyo kukutana  kusikiliza...

 HATMA ya kipa wa Yanga, Metacha Mnata, inatarajiwa kujulikana leo mara baada ya Kamati ya Nidhamu ya timu hiyo kukutana kusikiliza utetezi wake.

 

Kipa huyo, hivi karibuni alisimamishwa na uongozi wa Yanga baada ya kufanya utovu wa nidhamu dhidi ya mashabiki timu hiyo kufuatia mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu 


Shooting takriban wiki tatu zilizopita, Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-2.

 

Akizungumza na Championi Ijumaa,Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Haji Mfikirwa alisema kuwa kamati hiyo itakutana kwa ajili ya kusikiliza utetezi wake kabla ya maamuzi mengine kutolewa kwa uongozi.“Hatima ya Metacha itajulikana kesho (jana).

 

Hilo suala hivi sasa lipo kwenye Kamati ya Nidhamu iliyopo ndani ya Yanga na halipo kwa viongozi, hivyo baada ya kamati hiyo kukutana tutapewa viongozi na kutoa taarifa.

 

“Ninaamini hilo suala litafikia muafaka mzuri na hatima ya kipa huyo itajulikana baada ya kikao hicho cha Kamati ya Nidhamu kukutana na Metacha,” alisema Mfikirwa



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MABOSI YANGA WAMJADILI METACHA MNATA
MABOSI YANGA WAMJADILI METACHA MNATA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhFdcMzFIqzlOPDxXGoqykb5UBYegUWtXCSo0X9GsCltr8h1aLcHhl993m0h0e0XzVA2Zjh-ypsuMoY7iofCfh5Bl1coYw3CMFxtLg7dWQoDJPrbzqB1KffzrEekoo7syCFeFpiL0LWbI5T/w640-h472/mNATA.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhFdcMzFIqzlOPDxXGoqykb5UBYegUWtXCSo0X9GsCltr8h1aLcHhl993m0h0e0XzVA2Zjh-ypsuMoY7iofCfh5Bl1coYw3CMFxtLg7dWQoDJPrbzqB1KffzrEekoo7syCFeFpiL0LWbI5T/s72-w640-c-h472/mNATA.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/mabosi-yanga-wamjadili-metacha-mnata.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/mabosi-yanga-wamjadili-metacha-mnata.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy