KUMBE! SIMBA WANGETULIA WANGEWAFUNGA KMC MABAO MENGI
HomeMichezo

KUMBE! SIMBA WANGETULIA WANGEWAFUNGA KMC MABAO MENGI

 NAHODHA wa KMC, Juma Kaseja ambaye alikaa langoni Julai 7 na kuokota mabao mawili yaliyofungwa na Chris Mugalu amesema kuwa wapinzani wao...


 NAHODHA wa KMC, Juma Kaseja ambaye alikaa langoni Julai 7 na kuokota mabao mawili yaliyofungwa na Chris Mugalu amesema kuwa wapinzani wao wangetulia Simba wangewafunga mabao mengi kipindi cha kwanza.


Kaseja ambaye ni Tanzania One aliweka wazi kwamba kwenye mchezo huo wa ligi wakati ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma KMC 0-2 Simba, timu yao ilifanya makosa mengi kipindi cha kwanza.


“Kipindi cha kwanza tulifanya makosa mengi sana na kama wapinzani wetu wangekuwa makini kwa nafasi ambazo walizipata basi wangetufunga mabao mengi kwa kutumia makosa yetu.


“Lakini kipindi cha pili ilikuwa ngumu kwao kutufunga kwa kuwa makosa ambayo tulifanya kipindi cha kwanza tulifanyia kazi hivyo walishindwa kutufunga, nasi tulishinwa kuwafunga,” amesema.


Kocha Msaidizi wa KMC, Habib Kondo amesema kuwa walifungwa kwa kuwa walishindwa kutengeneza nafasi jambo ambalo watalifanyia kazi kwenye mechi zao mbili zilizobaki.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KUMBE! SIMBA WANGETULIA WANGEWAFUNGA KMC MABAO MENGI
KUMBE! SIMBA WANGETULIA WANGEWAFUNGA KMC MABAO MENGI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNyt4Rd5Ija5nfV3eTktORB8gu42kS6UNQb8vlpApXL-m1gCedZED0vKtrzCvyM5gos6bkOM_8E3DUVyVBTWcOLLir5z5F6x2vVAQM4r_2-DrvSh959jhWuzGUB58GKGcobY18mn24Zgtt/w640-h426/simbasctanzania-212045777_4074995199263765_4766772198305702719_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNyt4Rd5Ija5nfV3eTktORB8gu42kS6UNQb8vlpApXL-m1gCedZED0vKtrzCvyM5gos6bkOM_8E3DUVyVBTWcOLLir5z5F6x2vVAQM4r_2-DrvSh959jhWuzGUB58GKGcobY18mn24Zgtt/s72-w640-c-h426/simbasctanzania-212045777_4074995199263765_4766772198305702719_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/kumbe-simba-wangetulia-wangewafunga-kmc.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/kumbe-simba-wangetulia-wangewafunga-kmc.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy