KIUNGO YANGA ASAINI MIAKA MIWILI
HomeMichezo

KIUNGO YANGA ASAINI MIAKA MIWILI

  K ATIKA kuhakikisha  wanakiboresha kikosi chao  kwa ajili ya msimu ujao,  Yanga imemuongezea  mkataba wa miaka miwili kiungo  Deus Kase...

 


KATIKA kuhakikisha wanakiboresha kikosi chao kwa ajili ya msimu ujao, Yanga imemuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo Deus Kaseke.

 

Kaseke ni kati ya wachezaji kipenzi cha Kocha Mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi ambaye tangu akabidhiwe kikosi hicho amekuwa akimtumia nyota huyo katika kikosi cha kwanza.


Huyo anakuwa mchezaji wa pili kuongezewa mkataba Yanga kati ya hao ambao mikataba imemalizika, mwingine ni Mapinduzi Balama.

 

Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Championi Ijumaa, Yanga hivi sasa inafanya usajili wake kwa usiri mkubwa na tayari imewaongezea mikataba wachezaji wake ambao Kocha Mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi amewapendekeza.

 

Mtoa taarifa huyo alisema kuwa kati ya wachezaji waliongezewa mikataba yupo Kaseke ambaye mkataba wake unamalizika mwishoni mwa msimu huu.


Aliongeza kuwa tofauti na wachezaji wanaoongezewa mikataba, pia mabosi wa timu hiyo wanaendelea na usajili mpya wa kitaifa na kimataifa.

 

“Usajili wetu wa msimu huu, tumeupanga ufanyike kwa siri na hadi hivi sasa tumewasajili wachezaji wapya na waliomaliza mikataba wawili.


“Usajili huo unafanywa kwa mujibu wa mapendekezo ya kocha wetu Nabi.Kikubwa tunataka kusuka kikosi kitakacholeta ushindani katika msimu wa ligi na michuano ya kimataifa. Kati ya wachezaji walioongezewa yupo Kaseke ambaye mara baada ya mechi dhidi ya Simba kumalizika, alisaini miaka miwili,”alisema mtoa taarifa huyo.

 

Alipotafutwa Kaseke kuzungumzia hilo alisema: “Mimi bado mchezaji wa Yanga kwa misimu mingine miwili baada mkataba niliokuwa nao awali kumalizika," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KIUNGO YANGA ASAINI MIAKA MIWILI
KIUNGO YANGA ASAINI MIAKA MIWILI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgiJSVR1uYsbwbzgWFkh6HtKWGwU0YZNdP-HUhjHA2IW4uuvnBdr1UuOQZla-vxjyO4ypQF7GAsaQ525vYMjmZ6jqId33m6vdQuJK0qzTV66-OlNmd0-y14JQiP1UUhqalfRzFEdjiwZT3K/w640-h640/Kaseke.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgiJSVR1uYsbwbzgWFkh6HtKWGwU0YZNdP-HUhjHA2IW4uuvnBdr1UuOQZla-vxjyO4ypQF7GAsaQ525vYMjmZ6jqId33m6vdQuJK0qzTV66-OlNmd0-y14JQiP1UUhqalfRzFEdjiwZT3K/s72-w640-c-h640/Kaseke.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/kiungo-yanga-asaini-miaka-miwili.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/kiungo-yanga-asaini-miaka-miwili.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy