IHEFU KUIVAA YANGA KWA TAHADHARI
HomeMichezo

IHEFU KUIVAA YANGA KWA TAHADHARI

  K OCHA Mkuu wa Ihefu  yenye maskani yake Mbeya,  Zuberi Katwila  amesema kuwawataingia kwenye mchezo wa leo dhidi ya Yanga kwa tahadhari ...

 

 

Ihefu inatarajia kukutana na Yanga leo Julai 15, Uwanja wa Mkapa kwa ajili ya kutafuta pointi tatu zitakazowasaidia kujiweka sehemu nzuri ya kuepuka kushuka daraja.

 

Akizungumza na Saleh Jembe, Katwila amesema kuwa, mchezo huo una umuhimu mkubwa kwa upande wao ili kujihakikishia usalama wa kubaki ligi kuu msimu ujao.

 

“Tumekuja kwa tahadhari ya hali ya juu kwa sababu tunaenda kucheza na timu kubwa na yenye uwezo mkubwa pia kwa hiyo tupo makini sana katika mchezo huu na tumejipanga vizuri.

 

"Wachezaji wote wapo salama kabisa na wote kwa pamoja tumekuja kutafuta pointi tatu zitakazotusaidia kuepuka na hatari ya kushuka daraja,” amesema Katwila.


Ihefu hadi sasa imekusanya pointi 35 katika michezo 32 iliyocheza ya ligi Kuu Bara na kupata ushindi katika michezo tisa, wamepoteza 15 na kutoa sare 8.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: IHEFU KUIVAA YANGA KWA TAHADHARI
IHEFU KUIVAA YANGA KWA TAHADHARI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEii0jAkFcWFOzmO_QdFEtmAVBmN7-m1SpyxGEYR_G_j_tJIpjuRmyRa1crzqdbPhcAIY3_GodV_1JfGShbJlTFYQ9HncbMnUV5CeGrrMG-pX9sKC9Cs3154EDe4fVjFG1qQCMszTWscBTS8/w640-h640/ihefusportsclubtz-209558684_2945908095653479_3601672715519159983_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEii0jAkFcWFOzmO_QdFEtmAVBmN7-m1SpyxGEYR_G_j_tJIpjuRmyRa1crzqdbPhcAIY3_GodV_1JfGShbJlTFYQ9HncbMnUV5CeGrrMG-pX9sKC9Cs3154EDe4fVjFG1qQCMszTWscBTS8/s72-w640-c-h640/ihefusportsclubtz-209558684_2945908095653479_3601672715519159983_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/ihefu-kuivaa-yanga-kwa-tahadhari.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/ihefu-kuivaa-yanga-kwa-tahadhari.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy