GREALISH APIGIWA HESABU NA MANCHESTER CITY
HomeMichezo

GREALISH APIGIWA HESABU NA MANCHESTER CITY

  M ANCHESTER City wamesema  kuwa wanataka kumsajili kiungo  wa Aston Villa Jack Grealish na  kumfanya kuwa mchezaji ghali zaidi  kwenye L...


 MANCHESTER City wamesema kuwa wanataka kumsajili kiungo wa Aston Villa Jack Grealish na kumfanya kuwa mchezaji ghali zaidi kwenye Ligi Kuu England.

Manchester City, Man United na timu nyingine kubwa zimekuwa zikimwania mchezaji huyo mwenye kiwango cha juu sana uwanjani kwa sasa.

 

Man City wamekuwa wakisema kuwa wanataka kumsajili kiungo huyo na kuvunja rekodi ya usajili kwenye Ligi Kuu England ambayo iliwekwa na Paul Pogba ambaye alisajiliwa na Man United kwa kitita cha pauni milioni 89.

 

Villa bado hawajasema kama wanataka kumuuza Grealish, lakini inaelezwa kuwa kama kuna timu itakwenda na kitita cha pauni milioni 100 watamchukua mchezaji huyo.

 

Hata hivyo, Man City wanataka kuanza na ofa ya pauni milioni 80 kwa ajili ya mchezaji huyo lakini wanaamini kuwa ofa hiyo itakataliwa.Kwa sasa mchezaji ambaye amesajiliwa bei ghali zaidi kwenye timu ya Man City ni Ruben Dias ambaye alisajiliwa kwa kitita cha pauni milioni 64.5.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GREALISH APIGIWA HESABU NA MANCHESTER CITY
GREALISH APIGIWA HESABU NA MANCHESTER CITY
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhjHRvdhJ4Sf-8ceFnSFhj25qcm4jihHHHg6-p9jzyI-BKwAjBGJwzpC2TKvlIR4jNpb_ReuThg-RYn8HuJ8EiymFpKCEORNXYqRSltDhOMHby8zks7q3c0-hCMqoFetDTKZqNFcHMuwCLD/w640-h640/Grealishi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhjHRvdhJ4Sf-8ceFnSFhj25qcm4jihHHHg6-p9jzyI-BKwAjBGJwzpC2TKvlIR4jNpb_ReuThg-RYn8HuJ8EiymFpKCEORNXYqRSltDhOMHby8zks7q3c0-hCMqoFetDTKZqNFcHMuwCLD/s72-w640-c-h640/Grealishi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/grealish-apigiwa-hesabu-na-manchester.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/grealish-apigiwa-hesabu-na-manchester.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy