ENGLAND YATINGA FAINALI YA EURO 2020
HomeMichezo

ENGLAND YATINGA FAINALI YA EURO 2020

TIMU ya taifa ya England imeinga hatua ya fainali ya Euro 2020 baada ya ushindi wa mabao 2-1 mbele ya timu ya taifa ya Denmark kwenye mche...


TIMU ya taifa ya England imeinga hatua ya fainali ya Euro 2020 baada ya ushindi wa mabao 2-1 mbele ya timu ya taifa ya Denmark kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali baada ya kuyeyusha miaka 55 bila kutinga katika hatua hiyo mara ya mwisho ikiwa ni mwaka 1966.

Ni Mikkel Damsgaard alianza kuwatungua England dk 30 kwa pigo huru kwenye mashindano hayo lakini lilisawazishwa na Simon Kjaer ambaye alijifunga dk 39. Mpaka dk 90 za awali zinakamilika ubao ulikuwa unasoma 1-1 ilibidi England wasubiri mpaka dk ya 104 mbele ya mashabiki 60,000 nahodha Harry Kane alipachika bao la ushindi likiwa ni bao lake la 10 kwenye timu ya taifa.

Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Wembley ulikuwa na ushindani mkubwa ambapo vijana wa Kocha Mkuu, Gareth Southagate ilibaki kidogo wafike hatua ya penalti kutokana na kufika katika dakika za nyongeza.

Sasa watakutana na Italia ambao walishinda kwa penalti 4-2 mbele ya Hispania baada ya kufungana bao 1-1. Mchezo huo wa fainali ambao utaamua nani atakuwa bingwa wa Euro 2020 unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Wembeley, Jumapili.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ENGLAND YATINGA FAINALI YA EURO 2020
ENGLAND YATINGA FAINALI YA EURO 2020
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgTXYgFJVbwk6SZFYI_uocHOR_W-w_U-hcVsvsyK2IbDWPkS5SWtPTznEGtYOKAC0snMLdHLV1vgiubtKDKrJII8Q4qkrsEps1e7ZthWR-D1ZhDII9bIZg96TjTPP3rmorfdYRD8fOyJ5S3/w640-h360/Kane+na+mwana.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgTXYgFJVbwk6SZFYI_uocHOR_W-w_U-hcVsvsyK2IbDWPkS5SWtPTznEGtYOKAC0snMLdHLV1vgiubtKDKrJII8Q4qkrsEps1e7ZthWR-D1ZhDII9bIZg96TjTPP3rmorfdYRD8fOyJ5S3/s72-w640-c-h360/Kane+na+mwana.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/england-yatinga-fainali-ya-euro-2020.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/england-yatinga-fainali-ya-euro-2020.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy