Breaking: Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, leo Julai 13 imetangaza siku rasmi ya Simba kukabidhiwa ubingwa wao walioutwaa msimu wa 2020/21. ...
Breaking: Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, leo Julai 13 imetangaza siku rasmi ya Simba kukabidhiwa ubingwa wao walioutwaa msimu wa 2020/21.
Tarehe ambayo itafanyika sherehe hiyo ni Julai 18 Uwanja wa Mkapa Simba inatarajia kucheza na Namungo FC.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS