VODACOM HATIHATI KUVUNJA MKATABA WA KUIDHAMINI LIGI
HomeMichezo

VODACOM HATIHATI KUVUNJA MKATABA WA KUIDHAMINI LIGI

  TETESI zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa msimu ujao haitaitwa tena Vodacom Primier Ligue (VPL) baada ya Vodacom  kudaiwa kuv...


 

TETESI zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa msimu ujao haitaitwa tena Vodacom Primier Ligue (VPL) baada ya Vodacom  kudaiwa kuvunja mkataba wa kuendelea kuwa mdhamini wa Ligi Kuu kwa sababu mbalimbali zilizoelezwa na uongozi.

Habari zinaeleza kuwa mabosi wa Vodacom wameona kwamba kuendelea na udhamini wa Ligi Kuu ya mpira wa Miguu Tanzania Bara kwao ni hasara.

 

Taarifa hiyo ilieleza kuwa kampuni hiyo ambayo imekuwa ikidhamini Ligi Kuu kwa miaka 10 ilipata hasara kutokana na wateja wake zaidi ya milioni 2.9 kufungiwa laini zao kwa kushindwa kukamilisha usajili wa alama za vidole pamoja na sababu nyingine za kikodi.

 Pia taarifa hiyo ilieleza kuwa wameamua kujitoa kutokana na kuona kwamba hasara kwao ni kubwa kuliko faida.

 Alipotafutwa Ofisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo ili aweze kuzungumzia suala hilo alisema kuwa hawezi kuongea juu ya suala hilo ikiwa litakuwepo watatoa taarifa. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: VODACOM HATIHATI KUVUNJA MKATABA WA KUIDHAMINI LIGI
VODACOM HATIHATI KUVUNJA MKATABA WA KUIDHAMINI LIGI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcUCGH-AfI6psBgkz3rjOqrzgJ0dsXadxLD2DneNBETY88M5dpeWtOOl40-AhD6M_xbHbNRY8SWmbRSQ8PAJkZgp7vsvpopgnhE5dhOrCK13JoPYvTvxQ9qn3nJWYRU6Utv7yrc2ohIWA5/w640-h332/Voda.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcUCGH-AfI6psBgkz3rjOqrzgJ0dsXadxLD2DneNBETY88M5dpeWtOOl40-AhD6M_xbHbNRY8SWmbRSQ8PAJkZgp7vsvpopgnhE5dhOrCK13JoPYvTvxQ9qn3nJWYRU6Utv7yrc2ohIWA5/s72-w640-c-h332/Voda.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/vodacom-hatihati-kuvunja-mkataba-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/vodacom-hatihati-kuvunja-mkataba-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy