MTANGAZAJI wa Bongo, Millard Ayo ameweka wazi kwamba hajawahi kuzoea kuletewa taarifa za kifo licha ya kwamba ni kitu ambacho wameumbiwa wan...
MTANGAZAJI wa Bongo, Millard Ayo ameweka wazi kwamba hajawahi kuzoea kuletewa taarifa za kifo licha ya kwamba ni kitu ambacho wameumbiwa wanadamu.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Amesema pia yeye na Fredwaa walikuwa ni marafiki na walikuwa wanawasiliana mara kwa mara na kuondoka kwake kumemfanya ashindwe kuamini kwa muda jambo ambalo limemuumiza.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS