MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina, Obrey Chirwa amesema kuwa mbali na mpira amewekeza kwenye k...
MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina, Obrey Chirwa amesema kuwa mbali na mpira amewekeza kwenye kilimo jambo ambalo limekuwa likimsaidia pia ambapo amesema kuwa analima nyanya, tikiti na karoti.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS