SIMBA YAMKOMALIA MANYAMA, YAIFUATA AZAM FC
HomeMichezo

SIMBA YAMKOMALIA MANYAMA, YAIFUATA AZAM FC

  T AARIFA za chini  ya kapeti zinaeleza  kuwa, Uongozi wa  Klabu ya Simba  umeufuata uongozi wa kikosi  cha klabu ya Azam kwa ajili  ya k...

YANGA YAMALIZANA NA MASHINE HII YA KAZI
MTAMBO WA MABAO AZAM FC WAREJEA KAZINI
BARCELONA YAMALIZANA NA MAJEMBE MANNE

 TAARIFA za chini ya kapeti zinaeleza kuwa, Uongozi wa Klabu ya Simba umeufuata uongozi wa kikosi cha klabu ya Azam kwa ajili ya kuomba kuachiwa nafasi ya kumsajili aliyekuwa beki wa Ruvu Shooting, Edward Charles Manyama.

 

Azam tayari wamemtangaza Manyama kuwa mchezaji wao mpya kwa mkataba wa miaka mitatu, huku wakati huohuo Simba walikuwa wakitajwa kumalizana na nyota huyo.

 

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya kikosi cha Azam kimelitonya Championi Jumatatu, kuwa Simba wameufuata uongozi wa Azam kuomba kuachiwa mchezaji huyo.

 

“Unajua ishu ya Manyama kuhitajika na Simba ni jambo lililo na uzito mkubwa sana kiasi kwamba, kuna baadhi ya viongozi wao wamekuja kujaribu kuongea na viongozi wetu ili tuwaachie, lakini tayari uongozi wetu uliwaambia tuna mipango naye.

 

Alipotafutwa Ofisa habari wa Klabu ya Azam, Zakaria Thabit, Zaka Zakazi kuzungumzia suala hilo alisema: “Watu wengi hawajui kuwa sisi Manyama tulimalizana naye mapema, kabla ya hizo tetesi za klabu ya Simba kumhitaji, hivyo ninachojua mimi Manyama ni mchezaji wetu na si vinginevyo.


Usajili wa Manyama umekuwa na mvutano mkubwa ambapo habari za awali zilieleza kuwa Simba imemalizana na nyota huyo kwa dili la miaka miwili ilibaki suala la kumtangaza.


Kabla dili lake halijatangazwa, Azam FC walifanya yao kwa kumtambulisha rasmi nyota huyo kwa kueleza kuwa wamempa dili la miaka mitatu.


Manyama aliibukia ndani ya Ruvu Shooting akitokea Klabu ya Namungo FC iayonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Seleman.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA YAMKOMALIA MANYAMA, YAIFUATA AZAM FC
SIMBA YAMKOMALIA MANYAMA, YAIFUATA AZAM FC
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj9Pbkq9AnSV3K40Dd6_4aUPHuWeRRh8AUvO-M7lDs1MjdXLSVBseOG4vnZxqlXDmSEJI0oaHUPbZNYO_JNBXjN3i4tnbLVh5C0G5I5l9Mlza8ihDgWIgSENPWq857qiaafv4ANo-HBj-IK/w640-h456/Manyama+bana.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj9Pbkq9AnSV3K40Dd6_4aUPHuWeRRh8AUvO-M7lDs1MjdXLSVBseOG4vnZxqlXDmSEJI0oaHUPbZNYO_JNBXjN3i4tnbLVh5C0G5I5l9Mlza8ihDgWIgSENPWq857qiaafv4ANo-HBj-IK/s72-w640-c-h456/Manyama+bana.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/simba-yamkomalia-manyama-yaifuata-azam.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/simba-yamkomalia-manyama-yaifuata-azam.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy