RAIS PSG ATAJA HATMA YA MBAPPE NDANI YA KIKOSI HICHO
HomeMichezo

RAIS PSG ATAJA HATMA YA MBAPPE NDANI YA KIKOSI HICHO

KYLIAN Mbappe hataondoka ndani ya kikosi cha Paris Saint Germain, (PSG) kwa namna yoyote ile kwa sasa kwa kuwa yupo kwenye mpango wa timu ...

VIDEO:MBWIGA AMPIGA MKWARA HAJI MANARA,ASHAURI NAMNA YA KUWA NA MASTAA
MANCHESTER UNITED YANYOOSHWA NA RONALDO WAO
AZAM FC YAWAWEKA KANDO WAARABU

KYLIAN Mbappe hataondoka ndani ya kikosi cha Paris Saint Germain, (PSG) kwa namna yoyote ile kwa sasa kwa kuwa yupo kwenye mpango wa timu hiyo licha ya kuwa kwenye hesabu za kuvutwa ndani ya Real Madrid.

Nyota huyo mwenye miaka 22 mkataba wake umebakisha mwaka mmoja na yupo kwenye mpango wa mazungumzo na mabosi hao ili kuongeza dili jipya kuwatumikia PSG inayonolewa na Kocha Mkuu, Mauricio Pochettino.

Real Madrid kwa muda mrefu wamekuwa wakitajwa kuhitaji saini ya nyota huyo raia wa Ufaransa wakitajwa kuweka dau kubwa ili kumpata mshambuliaji huyo.

Kwa mujibu wa Rais wa PSG, Nasser Al-Khelaifi amesema kuwa timu hiyo haitamuuza Mbappe na hataweza kuondoka bure ndani ya timu hiyo kwa kuwa wanahitaji huduma yake.

"Ipo wazi kwamba Kylian ataendelea kubaki ndani ya PSG. Hatuna mpango wa kumuuza kwa sasa na hataondoka bure ndani ya kikosi chetu," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: RAIS PSG ATAJA HATMA YA MBAPPE NDANI YA KIKOSI HICHO
RAIS PSG ATAJA HATMA YA MBAPPE NDANI YA KIKOSI HICHO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh0wztrTQLTEKjbrKguxxl-Y90175_yLNxn1diQNiLoEsmqSUQYySG6vPjQwnf1YFlR7jYfJXs5eXGsgJif0L8wq4duR00wqDh9cXovSZ5HL-hUO9kRnjjJG5WFj0-7FC27iAXa0-n3ySkm/w640-h428/Mbappe+tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh0wztrTQLTEKjbrKguxxl-Y90175_yLNxn1diQNiLoEsmqSUQYySG6vPjQwnf1YFlR7jYfJXs5eXGsgJif0L8wq4duR00wqDh9cXovSZ5HL-hUO9kRnjjJG5WFj0-7FC27iAXa0-n3ySkm/s72-w640-c-h428/Mbappe+tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/rais-psg-ataja-hatma-ya-mbappe-ndani-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/rais-psg-ataja-hatma-ya-mbappe-ndani-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy