ISHU YA METACHA MNATA KUIBUKIA SIMBA, AZAM MPANGO UPO HIVI
HomeMichezo

ISHU YA METACHA MNATA KUIBUKIA SIMBA, AZAM MPANGO UPO HIVI

  METACHA Mnata, anaweza kwenda Azam FC ama Simba ikiwa mabosi wake wa sasa Yanga watakaa kimya juu ya mkataba wake. Nyota huyo ambaye am...

 

METACHA Mnata, anaweza kwenda Azam FC ama Simba ikiwa mabosi wake wa sasa Yanga watakaa kimya juu ya mkataba wake.

Nyota huyo ambaye amesimamishwa na Yanga kwa muda usiojulikana huku akikutana na rungu kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF) kutocheza mechi tatu pamoja na faini ya laki tano dili lake linameguka msimu huu.

Kosa lake ilikuwa ni kuwaonyesha ishara ya matusi mashabiki wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting,  Uwanja wa Mkapa ambapo Yanga ilishinda kwa mabao 3-2.

Kwa mujibu wa Meneja wa Mnata, Jemedari Said amesema kuwa yupo tayari kupokea ofa kutoka Azam FC na Simba endapo Klabu ya Yanga itakaa kimya.

"Kuhusu Metacha tunawasubiri Yanga wenyewe tuone ni jinsi gani tutaingia nao makubaliano mapya ya kimkataba, kama watashindwa basi sisi tupo tayari kusikiliza ofa ya timu yoyote,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ISHU YA METACHA MNATA KUIBUKIA SIMBA, AZAM MPANGO UPO HIVI
ISHU YA METACHA MNATA KUIBUKIA SIMBA, AZAM MPANGO UPO HIVI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEii547L49erJMkYRDcb3Dac0vHogRTcXqnxfa9GyhRtU8ILGktdoapUfBnW2f90NG4ibytakPvOrFAryCiP857sr4DLSGG3ZPR8flcdnbjbLSfXT9IdS6u1M22Oo7-CbS52SBjYbuvdNr4i/w640-h486/IMG_20210628_075620_477.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEii547L49erJMkYRDcb3Dac0vHogRTcXqnxfa9GyhRtU8ILGktdoapUfBnW2f90NG4ibytakPvOrFAryCiP857sr4DLSGG3ZPR8flcdnbjbLSfXT9IdS6u1M22Oo7-CbS52SBjYbuvdNr4i/s72-w640-c-h486/IMG_20210628_075620_477.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/ishu-ya-metacha-mnata-kuibukia-simba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/ishu-ya-metacha-mnata-kuibukia-simba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy