CHIKWENDE PERFECT AWAGAWA SIMBA ISHU YA KUVUNJIWA MKATABA
HomeMichezo

CHIKWENDE PERFECT AWAGAWA SIMBA ISHU YA KUVUNJIWA MKATABA

 IMEELEZWA kuwa nyota wa Simba, Perfect Chikwende amewagawa viongozi wa Simba kutokana na wengine kuvutana wakitaka abaki na wengine wakihi...

 IMEELEZWA kuwa nyota wa Simba, Perfect Chikwende amewagawa viongozi wa Simba kutokana na wengine kuvutana wakitaka abaki na wengine wakihitaji avunjiwe mkataba wake.

Nyota huyo alisajiliwa katika usajili wa dirisha dogo akitokea Klabu ya FC Platinum inayoshiriki Ligi Kuu ya Zimbabwe.

Jina lake lilimuengua Francis Kahata kucheza Ligi Kuu Bara na kupelekwa katika Ligi ya Mabingwa Afrika na baada ya Simba kutolewa hatua ya robo fainali Kahata hakuongezewa dili jipya.

Habari zinaeleza kuwa wapo ambao wanahitaji asepe kwa kuvunja mkataba ila wanahofia gharama za kusitisha mkataba huo na wengine wanataka abaki.

"Mabosi wanafikiria abaki ama aondoke ila katika kuvunja mkataba ni gharama. Inawezekana akaachwa na akasajiliwa mshambuliaji mwingine, hivyo ni suala ambalo limeleta mgawanyiko, " ilieleza taarifa hiyo.

Hivi karibuni, Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah, alisema kuwa Kocha Mkuu, Didier Gomes ndiye mwenye maamuzi kuhusu wachezaji watakaobaki na kusajiliwa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: CHIKWENDE PERFECT AWAGAWA SIMBA ISHU YA KUVUNJIWA MKATABA
CHIKWENDE PERFECT AWAGAWA SIMBA ISHU YA KUVUNJIWA MKATABA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhlAnITKHHJzXpdfon0fX33VD65el4LKmEmbkQPuIOIr_iH7eG7N-DCnUw8IDzn_uysuOcoe6h9oIjH2dXtqM-9Y1ZrJFJwQBT7Fw20DIfF7cY3GItYG7a7wKcTUJdLIUYMa-Kyi4IjK2ib/w640-h442/IMG_20210613_073039_626.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhlAnITKHHJzXpdfon0fX33VD65el4LKmEmbkQPuIOIr_iH7eG7N-DCnUw8IDzn_uysuOcoe6h9oIjH2dXtqM-9Y1ZrJFJwQBT7Fw20DIfF7cY3GItYG7a7wKcTUJdLIUYMa-Kyi4IjK2ib/s72-w640-c-h442/IMG_20210613_073039_626.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/chikwende-perfect-awagawa-simba-ishu-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/chikwende-perfect-awagawa-simba-ishu-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy