AZAM FC KIBOKO YAMALIZANA NA SURE BOY JUMLAJUMLA
HomeMichezo

AZAM FC KIBOKO YAMALIZANA NA SURE BOY JUMLAJUMLA

 KIUNGO mchezeshaji, Salum Aboubakary  ‘Sure Boy’ ataendelea kuichezea Azam FC katika  misimu mingine miwili baada ya kuongezewa  mkataba ...


 KIUNGO mchezeshaji, Salum Aboubakary 
‘Sure Boy’ ataendelea kuichezea Azam FC katika misimu mingine miwili baada ya kuongezewa mkataba wa miaka miwili ya kuendelea kukipiga huko.


Awali, ilielezwa kuwa kiungo huyo yupo kwenye mipango ya kujiunga na Yanga katika msimu ujao kwa kile kilichodaiwa kugomea kuongeza mkataba Azam.

Taarifa ambazo imezipata Championi Ijumaa, kiungo huyo ameongeza mkataba wa miaka miwili kwa siri katika timu yake ya Azam utakaomalizika msimu wa 2023.


Mtoa taarifa huyo alisema kuwa wamemuongezea kiungo huyo mkataba kwa makusudi kwa hofu ya kuzidiwa ujanja na baadhi ya klabu kubwa za Simba na Yanga.


“Kama kulikuwa kuna timu ilikuwa inavizia saini ya Sure Boy, basi imekula kwao kwani mchezaji huyo ni mali yetu kwa misimu mingine miwili,” alisema mtoa taarifa huyo.


Alipotafutwa Ofisa Habari wa Azam, Thabiti Zakaria kuzungumzia hilo alisema: “Mbona mmechelewa kujua taarifa za Sure Boy kuongeza mkataba mpya? Sure ni mali yetu yupo hapa Azam hadi 2023.”



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC KIBOKO YAMALIZANA NA SURE BOY JUMLAJUMLA
AZAM FC KIBOKO YAMALIZANA NA SURE BOY JUMLAJUMLA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4rhFgJYyB6Swj7Z9uk7EIc_KWFq0M1lVMU6jvn2blqWt_lBjvKh6jlmVrx5vum-stTpIMekktsg2uXj3TqN-ZcIjSHPl31kHLCgtknDwiBbH1hLl4i6KiIDKyj5EfKDc9cdvClg3jbTNP/w640-h640/Sure+Boy+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4rhFgJYyB6Swj7Z9uk7EIc_KWFq0M1lVMU6jvn2blqWt_lBjvKh6jlmVrx5vum-stTpIMekktsg2uXj3TqN-ZcIjSHPl31kHLCgtknDwiBbH1hLl4i6KiIDKyj5EfKDc9cdvClg3jbTNP/s72-w640-c-h640/Sure+Boy+1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/azam-fc-kiboko-yamalizana-na-sure-boy.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/azam-fc-kiboko-yamalizana-na-sure-boy.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy