SIMBA WAKIRI KWAMBA MCHEZO WAO DHIDI YA YANGA UTAKUWA MGUMU
HomeMichezo

SIMBA WAKIRI KWAMBA MCHEZO WAO DHIDI YA YANGA UTAKUWA MGUMU

 UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mchezo wao dhidi ya Yanga utakuwa mgumu ila watapambana kusaka pointi tatu muhimu. Zimebaki siku tano...


 UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mchezo wao dhidi ya Yanga utakuwa mgumu ila watapambana kusaka pointi tatu muhimu.

Zimebaki siku tano kwa watani hao wa jadi kukutana Uwanja wa Mkapa, Mei 8 katika mchezo wa ligi kusaka pointi tatu muhimu.

Mchezo wao wa mzunguko wa kwanza ubao ulisoma Yanga 1-1 Simba na kuwafanya wagawane pointi mojamoja.

Patrick Rweyemamu, meneja wa Simba amesema kuwa wanatambua wana kazi kubwa ya kufanya ili kusaka ushindi kwenye mchezo huo ambao ni muhimu kwao kupata pointi tatu.

"Utakuwa ni mchezo mgumu na wenye ushindani kwani wapinzani wetu wapo vizuri kiushindani hilo tunatambua nasi pia tupo vizuri.

"Kikubwa ambacho tunafanya ni kuwa tayari kwa ajili ya mchezo huo mashabiki wajitokeze kwa wingi kutupa sapoti," amesema.

Kwenye msimamo, Simba ipo nafasi ya kwanza ina pointi 61 ikiwa imecheza mechi 25 na Yanga ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 57 baada ya kucheza mechi 27.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA WAKIRI KWAMBA MCHEZO WAO DHIDI YA YANGA UTAKUWA MGUMU
SIMBA WAKIRI KWAMBA MCHEZO WAO DHIDI YA YANGA UTAKUWA MGUMU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgMv9Hf7n2GxPF4QCumHcr84hCcRNNC23xRO2N16lxWj3eB-pKYT4FcXTVHkQhb2oTE_1VB0XovMwBzfmzqdwiQz-6Yp_hCqxJi5ypmUWwmSwtvyOFyW_SD7tElfSvZCIQ54l4-BtvJCiuj/w640-h426/Simba+v+Yanga+niyo.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgMv9Hf7n2GxPF4QCumHcr84hCcRNNC23xRO2N16lxWj3eB-pKYT4FcXTVHkQhb2oTE_1VB0XovMwBzfmzqdwiQz-6Yp_hCqxJi5ypmUWwmSwtvyOFyW_SD7tElfSvZCIQ54l4-BtvJCiuj/s72-w640-c-h426/Simba+v+Yanga+niyo.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/simba-wakiri-kwamba-mchezo-wao-dhidi-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/simba-wakiri-kwamba-mchezo-wao-dhidi-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy