PATRICK AUSSEMS AIPA NAFASI SIMBA KUTINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
HomeMichezo

PATRICK AUSSEMS AIPA NAFASI SIMBA KUTINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

 PATRICK  Aussems ameibuka  na kusema kuwa timu  hiyo ina nafasi kubwa  ya kuweza kufika  fainali katika michuano  hiyo kutokana na  kurek...


 PATRICK Aussems ameibuka na kusema kuwa timu hiyo ina nafasi kubwa ya kuweza kufika fainali katika michuano hiyo kutokana na kurekebisha mambo mengi aliyoshauri wakati yupo ndani ya timu hiyo.

 

Aussems ambaye kwa sasa ni kocha wa AFC Leopards ya Kenya licha ya kuwa kwenye mapumziko nchini Ufaransa baada ya Ligi ya Kenya kusimama kutokana na kuwepo kwa ‘lockdown’ ya Corona, aliondoka Simba mwaka 2019 baada ya kutimuliwa kutokana na mwenendo mbaya wa timu


Aussems amesema kuwa Simba ya sasa imebadilika kutokana na kukamilisha miondombinu yake, hivyo inaweza kufanya chochote tofauti na wakati wake alipokuwa kwenye timu hiyo.

 

“Unajua wakati ule Simba haikuwa na miondombinu mizuri wala uwanja wake wa mazoezi kwa sababu tulikuwa tukifanya mazoezi katika viwanja vya watu wakati mwingine Uwanja wa Boko na wakati mwingine Uhuru tena ikiwa ni kwa kusubiri wenye timu zao wamalize kwanza.

 

“Lakini sasa Simba inamiliki kila kitu kama zilivyo timu nyingine kubwa Afrika ndiyo maana inaweza kufanya vyema katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na ubora ambao inaonyesha naona wanayo nafasi kubwa ya kucheza fainali kwa kuwa ni timu ambayo imepiga hatua kubwa,” alisema Aussems.


Simba imepangwa na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ambapo inatarajiwa kucheza mchezo wa kwanza ugenini kati ya Mei 14-15 na mchezo wa marudio itakuwa ni Uwanja wa Mkapa.


Chanzo:Championi



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: PATRICK AUSSEMS AIPA NAFASI SIMBA KUTINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
PATRICK AUSSEMS AIPA NAFASI SIMBA KUTINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi8XAP8K3dmY7TghZ_icfSOyfjiHkE1GNC7ytraJDrAxNGN8OEj_SIWxF_pGBFRVRKAIXFmPdXi5ntIqzAzrJ2EFR3H_gpisrZWiurTvzwCYDm9fZXtW6hiSSMBq2Dd31nxvDIJjOy2SN8R/w640-h366/aussems.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi8XAP8K3dmY7TghZ_icfSOyfjiHkE1GNC7ytraJDrAxNGN8OEj_SIWxF_pGBFRVRKAIXFmPdXi5ntIqzAzrJ2EFR3H_gpisrZWiurTvzwCYDm9fZXtW6hiSSMBq2Dd31nxvDIJjOy2SN8R/s72-w640-c-h366/aussems.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/patrick-aussems-aipa-nafasi-simba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/patrick-aussems-aipa-nafasi-simba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy