NYOTA VIDAL NOMA, ATWAA MATAJI 9 NDANI YA MIAKA 10
HomeMichezo

NYOTA VIDAL NOMA, ATWAA MATAJI 9 NDANI YA MIAKA 10

 BAADA ya kutwaa taji la ubingwa wa Serie A msimu huu kiungo Inter Milan, Arturo Vidal amefanikiwa kutwaa mataji tisa ya ligi tofauti ndan...


 BAADA ya kutwaa taji la ubingwa wa Serie A msimu huu kiungo Inter Milan, Arturo Vidal amefanikiwa kutwaa mataji tisa ya ligi tofauti ndani ya miaka 10.

Vidal amefanikiwa kutwaa mataji hayo akiwa na Juventus ambapo alishinda manne ya Serie A, 2012 mpaka 2015.

Ndani ya Bundesliga na kikosi cha Bayern Munich alibeba taji la ligi hiyo mara tatu msimu wa 2015/16, 2016/17 na 2017/18.

Msimu wa 2018/19 alitwaa taji la La Liga akiwa na Barcelona ambapo aliondoka msimu uliopita na kutua Inter Milan.

Katika miaka hiyo 10 Vidal hakushinda taji msimu wa 2019/10 akiwa ndani ya Barcelona na ni msimu pekee ambao hakutoka na taji la ligi.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NYOTA VIDAL NOMA, ATWAA MATAJI 9 NDANI YA MIAKA 10
NYOTA VIDAL NOMA, ATWAA MATAJI 9 NDANI YA MIAKA 10
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhngc-omWkG3drgbU8llNuo5ZO2PT9yjtelfvWmF5oMa14xauGNOp5-pBqIUxk6UXqnhvKvo0VS7yKZf2aBmmsfVZAOXxkiOE2CAr1GH2hCrMjo-ntSYaFhEER6goRr17dgaISFVMiISOc2/w410-h640/Vidal+v+Cup.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhngc-omWkG3drgbU8llNuo5ZO2PT9yjtelfvWmF5oMa14xauGNOp5-pBqIUxk6UXqnhvKvo0VS7yKZf2aBmmsfVZAOXxkiOE2CAr1GH2hCrMjo-ntSYaFhEER6goRr17dgaISFVMiISOc2/s72-w410-c-h640/Vidal+v+Cup.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/nyota-vidal-noma-atwaa-mataji-9-ndani.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/nyota-vidal-noma-atwaa-mataji-9-ndani.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy