MICHAEL SARPONG APITISHA SAA 4,080 BILA KUFUNGA
HomeMichezo

MICHAEL SARPONG APITISHA SAA 4,080 BILA KUFUNGA

MICHAEL Sarpong, mshambuliaji wa kikosi cha Yanga raia wa Ghana amepitisha jumla ya siku 170 ambazo ni sawa na saa 4,080  bila kufunga...





MICHAEL Sarpong, mshambuliaji wa kikosi cha Yanga raia wa Ghana amepitisha jumla ya siku 170 ambazo ni sawa na saa 4,080  bila kufunga bao kwenye mechi zote za ushindani ikiwa ni zile za Ligi Kuu Bara na Shirikisho.


Kwenye ligi Yanga ina pointi 61 baada ya kucheza mechi 29 na ina mabao 43 amehusika katika mabao 7, alifunga mabao manne, pasi mbili za mabao na alisababisha penalti moja kwenye mchezo dhidi ya KMC, Uwanja wa CCM Kirumba.


Bao lake la kwanza ndani ya ligi alifunga Uwanja wa Mkapa kwenye sare ya kufungana  bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons, ni Septemba 6 kisha Oktoba 31 aliwafunga Biashara United, Uwanja wa Karume.

 

Novemba 7 aliwafunga Simba ilikuwa ni kwa mkwaju wa penalti na Desemba 6 alifunga akaunti yake ya mabao kwa kuwafunga Ruvu Shooting ilikuwa Uwanja wa Mkapa.


Leo Mei 25 anatarajiwa kuongoza kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi katika mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Mwadui FC ikiwa ni hatua ya robo fainali.


Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Kambarage majira ya saa 10:00 jioni na mshindi wa jumla atainga hatua ya nusu fainali ambapo atakutana na Biashara United aliyeshinda mbele ya Namungo FC.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MICHAEL SARPONG APITISHA SAA 4,080 BILA KUFUNGA
MICHAEL SARPONG APITISHA SAA 4,080 BILA KUFUNGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgFG_l-xiu7A7f9mMYY7BI0SWO74HmoVHm4q0m2nL7KCf-tSyv0yGVw5m7wYM7gRQ7p7QFec1L_5nAhOyjh1dkcmcljXQqKsWlaFeVFMKSx8WrG1hX3K-lsQCVlkvhuecYeJGOFJDWwtlRS/w520-h640/Sarpong+Mara.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgFG_l-xiu7A7f9mMYY7BI0SWO74HmoVHm4q0m2nL7KCf-tSyv0yGVw5m7wYM7gRQ7p7QFec1L_5nAhOyjh1dkcmcljXQqKsWlaFeVFMKSx8WrG1hX3K-lsQCVlkvhuecYeJGOFJDWwtlRS/s72-w520-c-h640/Sarpong+Mara.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/michael-sarpong-apitisha-saa-4080-bila.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/michael-sarpong-apitisha-saa-4080-bila.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy