MANCHESTER UNITED YATINGA FAINALI EUROPA LEAGUE
HomeMichezo

MANCHESTER UNITED YATINGA FAINALI EUROPA LEAGUE

  MANCHESTER United imetinga hatua ya fainali ya Europa League licha ya kupoteza mbele ya AS Roma katika fainali ya pili kwa ubao kusoma ...

 


MANCHESTER United imetinga hatua ya fainali ya Europa League licha ya kupoteza mbele ya AS Roma katika fainali ya pili kwa ubao kusoma AS Roma 3-2 Manchester United.

Uwanja wa Stadio Olimpico ni Edin Dzeko wa AS Roma dakika ya 57, Bryan Cristante dakika ya 60 na Alex Telles dakika ya 83 alijifunga kwa upande wa Manchester United ni Edinson Cavan alitupia mabao yote dakika ya 39 na 68.

United inatinga fainali kwa ushindi wa jumla ya mabao 5-8 kwa kuwa ile nusu fainali ya kwanza, Uwanja wa Old Trafford United ilishinda mabao 6-2 na inakuwa ni fainali ya kwanza ya Kocha Mkuu Ole Gunnar Solskjaer ndani ya United. 

Atakutana na Villarreal inayonolewa na Kocha Mkuu, Unai Emery ambaye alishinda mbele ya Arsenal katika hatua ya nusu fainali ya Kwanza mabao 2-1 na ile ya pili ngoma ikawa droo



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MANCHESTER UNITED YATINGA FAINALI EUROPA LEAGUE
MANCHESTER UNITED YATINGA FAINALI EUROPA LEAGUE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizX9m9f0cyh_tQlDcHn17gDCDpwPkLmmRRAZrrB17HcSx96hAUeUnhs9Qr3QKjDOWbJkFIQ4mmtygnlbX-9OLInfLtPqWalKIHBOFh6MBtKvpMaxnVz7NWM2XfjBFpCJLjHvoSiwiCqfRt/w506-h640/Screenshot_20210507-082418_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizX9m9f0cyh_tQlDcHn17gDCDpwPkLmmRRAZrrB17HcSx96hAUeUnhs9Qr3QKjDOWbJkFIQ4mmtygnlbX-9OLInfLtPqWalKIHBOFh6MBtKvpMaxnVz7NWM2XfjBFpCJLjHvoSiwiCqfRt/s72-w506-c-h640/Screenshot_20210507-082418_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/manchester-united-yatinga-fainali.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/manchester-united-yatinga-fainali.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy