Majaji Walioteuliwa na Rais Samia kuapishwa kesho, wakuu wa mikoa keshokutwa
HomeHabari

Majaji Walioteuliwa na Rais Samia kuapishwa kesho, wakuu wa mikoa keshokutwa

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kesho anatarajia kuwaapisha Majaji 28 wa Mahakama ya Rufani  na Majaji wa Mahakama Kuu aliowateua sik...

Uimarishaji Sekta Ya Afya Watawala Mkutano Wa 22 Wa Mapitio Ya Pamoja Ya Sera Ya Mwaka
Majaliwa Azindua Matokeo Ya Utafiti Wa Watu Wenye Uwezo Wa Kufanya Kazi 2020/2021
Ijue Sayansi ya Nguvu za Kiume

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kesho anatarajia kuwaapisha Majaji 28 wa Mahakama ya Rufani  na Majaji wa Mahakama Kuu aliowateua siku chache zilizopita.

Taarifa iliyotolewa leo na kusambazwa kwenye vyombo vya habari na , Mkurugenzi wa kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais (Ikulu), Gerson Msigwa imebainishwa kuwa hafla ya kuwaapisha majaji hayo itafanyika kuanzia saa tatu asubuhi Ikulu jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Kikwete.

Taarifa hiyo pia imebainisha kuwa keshokutwa Rais Samia atawapisha wakuu wa mikoa na wakuu wa taasisi aliyowateua Mei 15, 2021.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Majaji Walioteuliwa na Rais Samia kuapishwa kesho, wakuu wa mikoa keshokutwa
Majaji Walioteuliwa na Rais Samia kuapishwa kesho, wakuu wa mikoa keshokutwa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgor2LNVyYmqI1U-m1QI249SgipmN4OMTZExLJjU4KyWWO_mNoqDzK0dXJ0sXCpC7OtVZnCkPpfRtpd0HKqI7UT7PaRousCdW5k9kejCYt3xO4KbicwS7Ot9QkhMSKnhmkhFEtv9HorwyFe/s16000/1.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgor2LNVyYmqI1U-m1QI249SgipmN4OMTZExLJjU4KyWWO_mNoqDzK0dXJ0sXCpC7OtVZnCkPpfRtpd0HKqI7UT7PaRousCdW5k9kejCYt3xO4KbicwS7Ot9QkhMSKnhmkhFEtv9HorwyFe/s72-c/1.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/majaji-walioteuliwa-na-rais-samia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/majaji-walioteuliwa-na-rais-samia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy