ISHU YA LAMINE KUDAI KUWA ANADAI MKWANJA IPO HIVI
HomeMichezo

ISHU YA LAMINE KUDAI KUWA ANADAI MKWANJA IPO HIVI

 IMEELEZWA kuwa taarifa zinazoeleza kuwa nahodha wa Yanga, Lamine Moro anadai mshahara wake hazina ukweli. Nyota huyo alisimamishwa na ...

 IMEELEZWA kuwa taarifa zinazoeleza kuwa nahodha wa Yanga, Lamine Moro anadai mshahara wake hazina ukweli.




Nyota huyo alisimamishwa na Kocha Mkuu, Nassreddine Nabi Mei 15 kwa kueleza kuwa hakuwa na nidhamu kwa kushindwa kufuata taratibu ambazo zimewekwa na kocha huyo jambo lililolazimu arudishwe kutoka Mtwara.


Alikosekana kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Majaliwa ambapo dakika 90 ubao ulisoma Namungo 0-0 Yanga na nahodha alikuwa mshikaji wake Bakari Mwamnyeto.


Pia jana Mei 19 alikosekana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania ambapo Yanga walishinda mabao 2-0 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.


Taarifa hiyo imeeleza:"Lamine hadai kitu ndani ya Yanga hakuna fedha ambazo anadai hivyo hizo taarifa za kwamba anadai fedha ni uongo,".


Ofisa Habri wa Yanga, Hassan Bumbuli alisema kuwa nidhamu ni jambo linalozingatiwa ndani ya Yanga.

Hivi karibuni Habari zilieleza kuwa Lamine alidai mshahara jambo lililopelekea ashindwe kufuata utaratibu uliowekwa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ISHU YA LAMINE KUDAI KUWA ANADAI MKWANJA IPO HIVI
ISHU YA LAMINE KUDAI KUWA ANADAI MKWANJA IPO HIVI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjtoidvqormdPqYauUVXsuocZWIJTNGiF4R6Zo0HRotOHw1wNboCv0-jcDbZ9Rxx_w0UjYTwxq6ihWdRwkxKT9fUGB6e2aVawjQmsXacSamsTAXqLM2IhKEq9finxTCqg7M_EPi9QVhohSM/w622-h640/Screenshot_20210520-074651_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjtoidvqormdPqYauUVXsuocZWIJTNGiF4R6Zo0HRotOHw1wNboCv0-jcDbZ9Rxx_w0UjYTwxq6ihWdRwkxKT9fUGB6e2aVawjQmsXacSamsTAXqLM2IhKEq9finxTCqg7M_EPi9QVhohSM/s72-w622-c-h640/Screenshot_20210520-074651_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/ishu-ya-lamine-kudai-kuwa-anadai.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/ishu-ya-lamine-kudai-kuwa-anadai.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy