HAKUNA MCHEZAJI KAMA KANTE
HomeMichezo

HAKUNA MCHEZAJI KAMA KANTE

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo, Martin Samuel amesema kuwa hakuna mchezaji kama kiungo mkabaji, N'Golo Kante ambaye anacheza ndani ya...


MCHAMBUZI wa masuala ya michezo, Martin Samuel amesema kuwa hakuna mchezaji kama kiungo mkabaji, N'Golo Kante ambaye anacheza ndani ya kikosi cha Chelsea kinachonolewa na Kocha Mkuu, Thomas Tuchel kutokana na jitihada zake binafsi kwenye kutimiza majukumu yake.

Kante ndani ya miaka mitano ya hivi karibuni ametwaa mataji sita huku akiwa katika ubora wake uleule. Kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya mbele ya Manchester City aliweza kukata umeme kwa asilimia 100 bila kusababisha hata faulo moja.

Samuel amesema kuwa Kante ana nafasi ya kuweza kuingia kwenye vita ya kuwania tuzo ya Ballon d'Or kwa mwaka 2021 bila mashaka pamoja na Robert Lewandowski ambaye amefunga jumla ya mabao 20 katika mechi 48 msimu huu akiwa ndani ya Bayern Munich.

Kante ameshinda Kombe la Dunia akiwa na timu yake ya Ufaransa, ameshinda taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya, ameshinda taji la Europa na ana mataji mawili ya Ligi Kuu England pamoja na taji moja la FA akiwa chini ya makocha watano tofauti.

Samuel amesema:"Unaweza kuona namna gani anafanya na kwa uwezo wake kwa sasa hakuna ambye anafanya kama yeye hasa kwa namna ambavyo anajali wengine kuliko yeye binafsi, wapo wengi ambao walikuwa bora ila yeye anaonyesha uimara wake katika mapambano," .

 





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: HAKUNA MCHEZAJI KAMA KANTE
HAKUNA MCHEZAJI KAMA KANTE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7PWfRz0p4Kg-kw7pzBeDOQhyphenhyphenabOcvE3CiemrHc7k5tS944sjMCp_33i0Rmb2MsM8Dj-02OowqUY7BAbprbBZSILtz4MyR2wWYwnKBO3NnnO42_DzM_BQ7oUj2pwVwA7727vdqh0_BItUD/w400-h400/Kante+kombe.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7PWfRz0p4Kg-kw7pzBeDOQhyphenhyphenabOcvE3CiemrHc7k5tS944sjMCp_33i0Rmb2MsM8Dj-02OowqUY7BAbprbBZSILtz4MyR2wWYwnKBO3NnnO42_DzM_BQ7oUj2pwVwA7727vdqh0_BItUD/s72-w400-c-h400/Kante+kombe.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/hakuna-mchezaji-kama-kante.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/hakuna-mchezaji-kama-kante.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy