GWAMBINA FC KUENDELEA NA MAZOEZI KWA SASA
HomeMichezo

GWAMBINA FC KUENDELEA NA MAZOEZI KWA SASA

  HASSAN Salum, Kocha Msaidizi wa Gwambina FC  amesema timu yake haitatoa mapumziko kwa wachezaji wake katika kipindi hiki cha kupisha ma...

KANE MAJANGA SPURS
TIMIZA NDOTO NA MCHEZO WA DREAM CATCHER KUTOKA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET!
HIZI HAPA ZA LIGI KUU BARA LEO BONGO

 


HASSAN Salum, Kocha Msaidizi wa Gwambina FC  amesema timu yake haitatoa mapumziko kwa wachezaji wake katika kipindi hiki cha kupisha mashindano ya kombe la Azam Federation Cup.

Kocha huyo amesema kuwa kwa sasa wataendelea na mazoezi ya kujiandaa na michezo minne mfululizo ambayo wamepangiwa kucheza ugenini.

  Salum amesema :-“Kwa sasa ligi ipo ukingoni  na sisi kiukweli tuna ratiba ngumu ambapo tutacheza michezo minne ugenini ligi ikirejea hivyo hatutatoa mapumziko yoyote kwa wachezaji badala yake tutaendelea kujiandaa.

“Ratiba inaonyesha kwamba tutacheza na Namungo FC, Mbeya City,Tanzania Prison pamoja na Azam FC  kiukweli ni michezo mizito na michezo ya maamuzi kwa hatma ya klabu yetu hivyo tunalo jukumu la kuhakikisha kwamba tunakuwa na timu bora ya kushinda michezo hiyo,” amesema.

Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, Gwambina FC  ipo nafasi ya 17 ikiwa na pointi 31 baada ya kucheza mechi 29.

                




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GWAMBINA FC KUENDELEA NA MAZOEZI KWA SASA
GWAMBINA FC KUENDELEA NA MAZOEZI KWA SASA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg2L5bzdfV48YzxfwZf2idu3AAb20Hd5kS0r6T66otGMsswXAXeRzwRNu2ZRO9OWnGEqoADkYbcTuPfRCnOk8xBY5mllyVgx-ajF2gCiyIfgfF9SpaN3U4RfT70yBNNQSuHMFdMs8N-wiJS/w640-h638/gwambinafc_official-188620865_102349818674140_6675473551258331260_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg2L5bzdfV48YzxfwZf2idu3AAb20Hd5kS0r6T66otGMsswXAXeRzwRNu2ZRO9OWnGEqoADkYbcTuPfRCnOk8xBY5mllyVgx-ajF2gCiyIfgfF9SpaN3U4RfT70yBNNQSuHMFdMs8N-wiJS/s72-w640-c-h638/gwambinafc_official-188620865_102349818674140_6675473551258331260_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/gwambina-fc-kuendelea-na-mazoezi-kwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/gwambina-fc-kuendelea-na-mazoezi-kwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy