AZAM FC YALIPIGIA HESABU KOMBE LA SIMBA
HomeMichezo

AZAM FC YALIPIGIA HESABU KOMBE LA SIMBA

 UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa nia yao kubwa ni kutwaa taji la Kombe la Shirikisho ambalo lipo mikononi mwa Simba kwa sasa. Azam F...


 UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa nia yao kubwa ni kutwaa taji la Kombe la Shirikisho ambalo lipo mikononi mwa Simba kwa sasa.

Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina imetinga hatua ya robo fainali baada ya kushinda mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa hatua ya 16 bora uliochezwa Uwanja wa Azam Complex.

Vivien Bahati, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa bado wanaamini kwamba wana nafasi ya kuendelea kupata matokeo katika mechi zao zijazo.

"Kupita hatua ya robo fainali ni furaha kwetu na bado tuna amini kwamba tuna kazi ya kufanya kwa ajili ya mechi zetu zijazo na tutafanya vizuri.

"Malengo yetu ni kwamba kwenye mechi zetu zilizobaki tutapata matokeo chanya jambo ambalo litatupa nafasi ya kuweza kulipata taji hili ambalo ni kubwa," amesema. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC YALIPIGIA HESABU KOMBE LA SIMBA
AZAM FC YALIPIGIA HESABU KOMBE LA SIMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgzjiPw9_VHx2z1Etz9rSdax_ZKEk9uxXtiA4Ahu6wmJwFxnrPHABgkTFji4zo41PRLxG3XsuBLJo4OcDMf2cGMXRd4D7_yMVTZkrivtLFaB-uTx2RqfjUNANDqZk_ChzqzjGPkgIApuMwa/w640-h610/Dube+na+Polisi.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgzjiPw9_VHx2z1Etz9rSdax_ZKEk9uxXtiA4Ahu6wmJwFxnrPHABgkTFji4zo41PRLxG3XsuBLJo4OcDMf2cGMXRd4D7_yMVTZkrivtLFaB-uTx2RqfjUNANDqZk_ChzqzjGPkgIApuMwa/s72-w640-c-h610/Dube+na+Polisi.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/azam-fc-yalipigia-hesabu-kombe-la-simba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/azam-fc-yalipigia-hesabu-kombe-la-simba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy