AZAM FC KAMILI GADO KUIVAA BIASHARA UNITED LEO
HomeMichezo

AZAM FC KAMILI GADO KUIVAA BIASHARA UNITED LEO

  AZAM FC inayonolewa na Kocha Mkuu,  George Lwandamina Mei 20 ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Biashara United.  Mchezo huo uta...

 


AZAM FC inayonolewa na Kocha Mkuu,  George Lwandamina Mei 20 ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Biashara United. 


Mchezo huo utachezwa Uwanja wa Azam Complex majira ya saa 1:00 usiku unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili.


Vivier Bahati,  Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo ili kupata pointi tatu.


"Tunajua kwamba mchezo utakuwa na ushindani mkubwa na kila timu inahitaji pointi tatu hivyo tupo tayari kwa ajili ya mchezo huo. 


"Mashabiki wajitokeze kwa wingi ili kutupa sapoti na kuona namna gani tutapata matokeo ndani ya uwanja," amesema.

Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara,  Azam FC ambayo inaye kinara wa utupiaji Bongo Prince Dube mwenye mabao 13 ipo nafasi ya tatu na pointi 57.


Inakutana na Biashara United yenye mkongwe Ramadhan Chombo ikiwa nafasi ya nne na pointi 45 zote zimecheza mechi 29.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC KAMILI GADO KUIVAA BIASHARA UNITED LEO
AZAM FC KAMILI GADO KUIVAA BIASHARA UNITED LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhC99nAfnRqvdzpkO3pRa6e1FiGGyv7Y1706GfnlHOAAgyF6yYt4Ms6xWtRhaq2BZG2rxcGIUmI-PTuzPlOcPbgKX6EPIHaWwgoqLl4D0sHYThXvlbIRp8wi3r3hSZ54Ft2AWnzp9DSNLWW/w640-h640/IMG_20210519_200019_230.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhC99nAfnRqvdzpkO3pRa6e1FiGGyv7Y1706GfnlHOAAgyF6yYt4Ms6xWtRhaq2BZG2rxcGIUmI-PTuzPlOcPbgKX6EPIHaWwgoqLl4D0sHYThXvlbIRp8wi3r3hSZ54Ft2AWnzp9DSNLWW/s72-w640-c-h640/IMG_20210519_200019_230.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/azam-fc-kamili-gado-kuivaa-biashara.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/azam-fc-kamili-gado-kuivaa-biashara.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy